CECAFA KAGAME CUP 2011 Finals in Tanzania

CECAFA KAGAME CUP 2011 Finals in Tanzania

Yanga ili waendelee kwenda QF inabidi waifunge Bunamwaya mechi ya mwisho
 
Jamani mwenye final score ya matokeo ya Yanga Kagame cup leo atujuze
 
Jamani matokeo ya hizi mechi za leo yamekuwaje? Tujulishe tafadhali!!!!

Tiba
 
Wadau wa soka la bongo naomba tufahamishane, ni timu ngapi na utaratibu gani utatumika kupata 8 za robo fainali toka makundi 3 yaliyopo ya Kagame Cup?
 
Wadau wa soka la bongo naomba tufahamishane, ni timu ngapi na utaratibu gani utatumika kupata 8 za robo fainali toka makundi 3 yaliyopo ya Kagame Cup?

Kundi A ambalo lina timu tano, zitaqualify timu tatu, kundi B lenye timu nne zitaqualify timu mbili, kundi C nalo lina timu nne zitaqualify timu mbili, hizo ni timu saba tayari, timu ya nane itapatikana kutoka ama kundi B ama kundi C kutegemeana na uwiano mzuri wa point kwa timu zitakazoshika nafasi ya tatu kutoka makundi hayo mawili, yote kwa yote Yanga anatakiwa kushinda mechi ya mwisho la sivyo anaweza asiqualify, mfano akitoa draw na El mereikh wakashinda kwa magoli mengi dhidi ya Elmania basi itabidi asubiri matokeo ya ulinzi na APR.
 
Simba na Entencel imeanza.

Olimboka na Said Chollo awamo kwenye list: nafasi zao zimezibwa na Shija Mkina na Salumu Kanoni
 
dk5 Etincelles 0: 0 simba
 
dk 11 Etincelles 0: 0 simba
 
Simba
1.Juma kaseja
2.Salum kanoni
3.patrick Mafisango
4.Derrick
5.Juma Nyoso
6.Haruna moshi
7.Athuman Idd
8.Mohamed Simba Banka
9.Salum Machaku
10. Amir Mafuta
11.Shija Mkina

Hapa hakuna mfungaji karibu wote ni viungo...
 
Dakika ya 18, simba wanashambulia lakini umaliziaji hafifu...
 
dk19 Etincelles 0: 0 simba
 
Haruna Moshi Boban anaipatia simba goli la kwanza...
 
Simba goaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaal dk22 Haruna Boban ipatia simba goli baada ya kupokea pasi kutoka kwa
 
Back
Top Bottom