CECAFA KAGAME CUP 2011 Finals in Tanzania

Dar itakuwa kati ya Yanga na El Mereikh na kule Morogoro ni kati ya APR na FC ports ya Djibout, mechi ni saa kumi.
 
Leo ni siku ya bahati ya Yanga, itashinda kwa mabao matatu kwa moja
 
Mi niko Sudan leo. Kwani timu yangu ya yanga haina uwezo wowote bora ya wenzetu simba.
 
Mwendo wa mabingwa. Naamini yanga wataibuka na ushindi. Yanga wamerudisha
 
Jerry tegete anachechemea na namwona k asamoah anapasha
 
Jambo mie ni msimbazi, lakini kwa leo nawatakia kila la kheri yanga......
 
Yeh. Tegete ametoka anaingia asamoah, dk ya 20
 
Wakuu habari ya muda?naona sijachelewa sana. naomba line up ya yanga nitoe tathmini yangu jamani.
 
dk33 Yanga 1:1 El M
 
Keneth asamoah anaandika bao la pili dk 35
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…