CECAFA KAGAME CUP 2011 Finals in Tanzania

Uwanja unahamasisha kwa supporters wote wa simba na yanga.Ligi yetu ya ndani TFF waiboreshe ili iwe na hamasa kwa timu zote shiriki kama ilivyo leo kwenye kagame cup
Kweli uwanja unahamasisha, wimbo wa taifa unapigwa sasa na brass band!
 
Simba nguvu moja na kazi moja kufunga goals na kuleta kombe msimbazi.
 
Simba wanaanza pale, leo lazima mshindi apatikane!
 
Vikosi vya leo ni hivi:

Simba

1. Juma Kaseja
2. Said Nassor
3. Amir Maftah
4. Kelvin Yondan
5. Juma Nyoso
6. Mwinyi Kazimoto
7. Shija Mkina
8. Patrick Mafisango
9. Haruna Moshi
10. Mussa Hassan
11. Ulimboka Mwakingwe


Yanga.

1. Yaw Berko
2. Shadrack Nsajigwa
3. Oscar Joshua
4. Chacha Marwa
5. Nadir Haroub
6. Juma Seif
7. Godfrey Taita
8. Nurudin Bakari
9. Davies Mwape
10. Jerry Tegete
11. Hamis Kiiza
 
Yanga wameanza kubutua butua
 
tunataka kuona kandanda safi km lile la mshindi wa tatu sio butua butua tuuuuu
 
simba wako vizuri kwa dakika za mwanzo
 
duh simba wanatisha kwa leo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…