kwa namna timu zetu zinavyocheza sidhani kama kombe litabaki..
Mkuu usianze kuleta vijembe kubali tu mmezidiwa na mshukuru jamaa wamejifunga leo mngelala mapema.Labda simba yako....Yanga wana kikosi kizuri ambacho kita-gel kadri ya mashindano yanavyoendelea.
Besides hawa Wasudani wako hundreds miles apart ukiwalinganisha na wale Warundi vibonde waliocheza na simba jana!
El Merekh wametawala muda mrefu dhidi ya Yanga. Mpira umemalizika Yanga 2-2 El Mereikh!
timu zengine bwana nyumbani unatoka Draw tena kiasi jamaa aseme magoal ya kuzawadiwa ya kujifunga wamefanywa kufurahishwa Kandambili kwa Mbili.Full time Yanga 2:2 El Mereikh
.....hata Arsenal wanatawalaga hivohivo! Nilitaka kusahau....hata simba walitawala hivohivo dhidi ya Yanga msimu uilopita lakini bado walirambwa!
Simba mnacheza sana mpira mdomoni ndio taabu yenu!
mpira WaTZ , kwahiyo asiandike reality ? Kosoa ball possesion ! Ndio hoja ya jamaa ......hata Arsenal wanatawalaga hivohivo! Nilitaka kusahau....hata simba walitawala hivohivo dhidi ya Yanga msimu uilopita lakini bado walirambwa!Simba mnacheza sana mpira mdomoni ndio taabu yenu!
mpira WaTZ , kwahiyo asiandike reality ? Kosoa ball possesion ! Ndio hoja ya jamaa .
Mkuu usianze kuleta vijembe kubali tu mmezidiwa na mshukuru jamaa wamejifunga leo mngelala mapema.
yanga wamezidiwa, jamaa wanamiliki mpira vizuri kipindi hiki cha pili!
El Merekh wametawala muda mrefu dhidi ya Yanga. Mpira umemalizika Yanga 2-2 El Mereikh!
timu zengine bwana nyumbani unatoka Draw tena kiasi jamaa aseme magoal ya kuzawadiwa ya kujifunga wamefanywa kufurahishwa Kandambili kwa Mbili.
Wakuu tupo ughaibuni umeme hakuna so no Tv no radio. Naomba mwenye matokeo ya leo kombe la kagame atujuze hususani mechi ya Yanga
Acha kuleta ushabiki hapa, jana baada ya simba kutoka sare Sendeu aliongea mbovu sana akituimanisha kuwa yanga ndiyo mkombozi Tanganyika, matokeo yake nae katoka sare....ukizungumzia timu kucheza mpira modomoni na kwenye vyombo vya habari ni Yanga siyo simba........hata Arsenal wanatawalaga hivohivo! Nilitaka kusahau....hata simba walitawala hivohivo dhidi ya Yanga msimu uilopita lakini bado walirambwa!
Simba mnacheza sana mpira mdomoni ndio taabu yenu!
Ughaibuni iko wilaya gani? mkoa ganiWakuu tupo ughaibuni umeme hakuna so no Tv no radio. Naomba mwenye matokeo ya leo kombe la kagame atujuze hususani mechi ya Yanga