CECAFA KAGAME CUP 2011 Finals in Tanzania

CECAFA KAGAME CUP 2011 Finals in Tanzania

El Merekh wametawala muda mrefu dhidi ya Yanga. Mpira umemalizika Yanga 2-2 El Mereikh!
 
kwa namna timu zetu zinavyocheza sidhani kama kombe litabaki..

Labda simba yako....Yanga wana kikosi kizuri ambacho kita-gel kadri ya mashindano yanavyoendelea.
Besides hawa Wasudani wako hundreds miles apart ukiwalinganisha na wale Warundi vibonde waliocheza na simba jana!
 
Mkuu usianze kuleta vijembe kubali tu mmezidiwa na mshukuru jamaa wamejifunga leo mngelala mapema.
 
Thanks a lot kwa update za nguvu ingawa leo sikuwa live humu ila nimewasoma vzr ingawa sijafurahishwa na matokeo ya jana na leo pia timu zetu zinatakiwa zirekebishe makosa yaliyojitokeza kwenye hizi mechi za kwanza.Ila A.P.R wameingia na gear kubwa.
 
El Merekh wametawala muda mrefu dhidi ya Yanga. Mpira umemalizika Yanga 2-2 El Mereikh!

.....hata Arsenal wanatawalaga hivohivo! Nilitaka kusahau....hata simba walitawala hivohivo dhidi ya Yanga msimu uilopita lakini bado walirambwa!
Simba mnacheza sana mpira mdomoni ndio taabu yenu!
 
Full time Yanga 2:2 El Mereikh
timu zengine bwana nyumbani unatoka Draw tena kiasi jamaa aseme magoal ya kuzawadiwa ya kujifunga wamefanywa kufurahishwa Kandambili kwa Mbili.
 
.....hata Arsenal wanatawalaga hivohivo! Nilitaka kusahau....hata simba walitawala hivohivo dhidi ya Yanga msimu uilopita lakini bado walirambwa!
Simba mnacheza sana mpira mdomoni ndio taabu yenu!

Hii Habari Ya Simba inakujaje wakati mechi ya leo ilikuwa ni Yanga na El Mereikh?
 
.....hata Arsenal wanatawalaga hivohivo! Nilitaka kusahau....hata simba walitawala hivohivo dhidi ya Yanga msimu uilopita lakini bado walirambwa!Simba mnacheza sana mpira mdomoni ndio taabu yenu!
mpira WaTZ , kwahiyo asiandike reality ? Kosoa ball possesion ! Ndio hoja ya jamaa .
 
mpira WaTZ , kwahiyo asiandike reality ? Kosoa ball possesion ! Ndio hoja ya jamaa .

Ball possession tumeziona ngapi na hazina lolote?
Lazima ujipange kucheza kutumia mapungufu ya mpinzani wako, na sio kuiga mpinzani wako.
 
Mkuu usianze kuleta vijembe kubali tu mmezidiwa na mshukuru jamaa wamejifunga leo mngelala mapema.

Kijifunga kuna maanisha umezidiwa . . . . !Kwani walijipasia wenyewe mpaka wakafika kwa golikipa wao na kumfunga??
 
yanga wamezidiwa, jamaa wanamiliki mpira vizuri kipindi hiki cha pili!

Mkuu huwa unanichekesha kweli na ushabiki wako!
Haha haha hahahah
Jamaa wanamiliki mpira lakin hawajui kuzuia, na ndio Yanga walipotumia udhaifu huo
 
El Merekh wametawala muda mrefu dhidi ya Yanga. Mpira umemalizika Yanga 2-2 El Mereikh!

Kutawala si hoja kaka
Wanaweza kutawala 89% lakin wakaishia kufungwa kiajabu.
Na Yanga baada ya kuona jamaa ni wazuri wa kumiliki mpira, dawa ni kufanyia kazi makosa yao.
Then ukizingatia Yanga ndio kwaaanza wanaandaa kikosi cha kushindana kweli kweli
Am sure next time wakikutana tena huko mbeleni Mereikh will suffer
 
hivi yanga bado wanaimba ccm ccm ccm ... wakifunga goli?
 
timu zengine bwana nyumbani unatoka Draw tena kiasi jamaa aseme magoal ya kuzawadiwa ya kujifunga wamefanywa kufurahishwa Kandambili kwa Mbili.

Heh heheheheh
Hivi wanaenda kurudiana kule Sudan?
 
tatizo la yanga na washabiki wao ni kutegemea sana magazeti kusifia ilhali uwanjani hakuna kitu, miaka yote karibuni waweza kufikiri kikosi cha yanga ni bala kutokana na kusoma mwanaspoti, bingwa au championi, na yanga kila mwaka mnanunua wachezaji kwa mbembe lakini viwango vyao huja kufia bongo , angalia mtu kama steven bengo alikuwa bonge ya winga lakini yanga mlimuua, na wakati huohuo huwa hamchelewi kununua magalasa kama yale ya aime lukunku, kabongo honore, patrick katalay, davies mwape just to name a few wenyewe mnayajua magalasa yenu, so binafsi sitishiki sana na kelele za magazeti kazi ipo uwanjani jamani

tusubiri na tuone hiyo hii kagame na ligi kuu mwezi septemba
 
Wakuu tupo ughaibuni umeme hakuna so no Tv no radio. Naomba mwenye matokeo ya leo kombe la kagame atujuze hususani mechi ya Yanga
 
Wakuu tupo ughaibuni umeme hakuna so no Tv no radio. Naomba mwenye matokeo ya leo kombe la kagame atujuze hususani mechi ya Yanga

Jitahidi basi usome post zote kuanzia page ya tano utaona mengi, lakini kama unataka matokeo tu ni sare ya mbili mbili kati ya Yanga na El Mereikh ya Sudani.
 
.....hata Arsenal wanatawalaga hivohivo! Nilitaka kusahau....hata simba walitawala hivohivo dhidi ya Yanga msimu uilopita lakini bado walirambwa!
Simba mnacheza sana mpira mdomoni ndio taabu yenu!
Acha kuleta ushabiki hapa, jana baada ya simba kutoka sare Sendeu aliongea mbovu sana akituimanisha kuwa yanga ndiyo mkombozi Tanganyika, matokeo yake nae katoka sare....ukizungumzia timu kucheza mpira modomoni na kwenye vyombo vya habari ni Yanga siyo simba...
 
Back
Top Bottom