Radio Producer
JF-Expert Member
- Feb 4, 2011
- 726
- 320
Yanga 2
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ina maana magoli yote ya Yanga wamepewa?El mereck wanajifunga bao la 2
Ilikuwaje wakajifunga?El.Mereikh wamejifunga tena dk35. Yanga 2:1E M
Msisahau kutupa matokeo jamani ya Yanga na Wasudani Plz.
Ahahahaaah!!Simba hamna kitu acheni maneno ya kitoto, Yanga wanawasubiri unamuona hapa Jogoo la Jangwani likikiminja ni kuku cha Kariakoo? Jamaa wanasema wanamsubiri mnyama ha ha ha ha
Nsajigwa anafunga ndoa leoJapo mie si mwanayanga lakini naona wako vizuri, tatizo leo siko uwanjani naangalia kwenye TV, Yanga wakikaza hivi hivi wanaweza kushinda maana wanafika golini mara kwa mara, Line up leo sijaipata vizuri labda niitaje tu bila mpangilio; Berko, Godfrey Taita, Cannavaro, Marwa, Mrope, Nurdin Bakari, Rashid Gumbo, Davis Mwape, Asamoah ameingia badala ya Tegete, Makasi, Oscar Joshua,