CECAFA KAGAME CUP 2011 Finals in Tanzania

CECAFA KAGAME CUP 2011 Finals in Tanzania

Anatoka Amir Maftah anaingia Salum Kanoni . . .
 
Amir Maftah nje Salum Kanoni ndani...

Kanoni anaenda kucheza namba 2 na Cholo anarudi namba 3
 
Dk 15 za kwanza zimeisha . . . . bado ni 1 - 1
 
Wameanza kwa kasi dakika hizi za kipindi cha pili.
 
Boba yuko hoooooi saa hizi
Anaanguka na kukandwa misuli na mchezaji wa Mereikh
 
Rajab Isiakah anaingia badala ya Boban . . . .
 
Boban dhoof'l hali......Kachoka kweli na kaanguka uwanjani

Madai yake msuli umebana.....

Anatolewa nafasi yake inachukuliwa na Rajab Isihaka
 
Wachezaji wa Simba wamechoka mpaka wanashindwa kupiga mpira.....

Thank God El-Mereikh nao ni wazembe
 
Back
Top Bottom