CECAFA KAGAME CUP 2011 Finals in Tanzania

CECAFA KAGAME CUP 2011 Finals in Tanzania

usisahau pia kwamba mnyama alikiona cha mtema kuni kwa Red sea, lakini leo yanga wamekuja kidedea dhidi ya haohao Red c, Yanga hoyeeeeeeee!Berko, Nurdin hoyeeee!

ila leo tarehe 8July Yanga inaweza aga mashindano,labda refa aibebe kama walivyopanga kuzibeba timu za Tanzania
 
Let us see leo..!
But sidhani kama kuna ukweli sana hapa...
 
Salama wakuu......Tuko pamoja sana leo,naona kuna tatizo la mwasiliano(kwikwi ya mtandao)....Kila la heri Yanga......Kimsingi hali bado ni tete sana,beki yetu inajichanganya sana hasa Nadir na Chacha,wanajichanganya sana hivyo kuleta matatizo golini kwetu...Dakika ya 32 sasaYanga 0:0 St. George
 
Kikosi cha Yanga ni hiki...

1. Yaw Berko
2. Shadrack Nsajigwa
3. Oscar Joshua
4. Chacha Marwa
5. Nadir Haroub
6. Juma Seif
7. Godfrey Taita
8. Nurudin Bakari
9. Davies Mwape
10. Jerry Tegete
11. Kigi Makassy
 
Yanga leo wanacheza vizuri sana hasa pale katikati.....Kuna uelewano mzuri sana kati ya Juma Seif na Nurudin Bakari
 
Nasikia wahabesh wanatushambulia balaaa wadau leteni newz
Hapana....Mpira so far uko 50:50.......Wote wanashambuliana na Thank God Yanga leo wametulia sana kwenye kiungo...Juma Seif Kijiko ni mchezaji mzuri sana....Pia uwepo wa Jerry Tegete unaleta uhai wa mashambulizi kule mbeleHuyu kipa wa St. George Mganda Odonkara Robert ni mzuri sana,anawasaidia sana
 
Balatanda, Nsajigwa anacheza nafasi ipi leo? Naona yupo defensive mid-field!
 
Nurdin & Chacha hawajatulia - Mpaka sasa St. George wanacheza vizuri zaidi : dk 40 na 0-0

Nurdin naona anacheza vizuri pale kati,yeye na Juma Seif....

Naona tatizo(mpaka dakika ya 30) lilikuwa kwa Nadir Haroub na Chacha Mawa,walikuwa hawaelewani......Lakini sasa hivi naona wametulia na wanatia matumani.......Tuzidi kuelekeza dua zetu kwa Yanga

Ila Mwape ni Kigi Makassy ni mzigo......Wanaharibu sana kule mbele

Dakika ya 44 sasa

Yanga 0:0 St. George
 
Hadi sasa Yanga wamecheza vizuri, wakiongeza juhudi wanatoka na ushindi, half time bila bila.
 
Balatanda, Nsajigwa anacheza nafasi ipi leo? Naona yupo defensive mid-field!

Anacheza namba 2 na wakati mwingine namba 7 wakibadilishana na Godfrey Taita......Ni aina ya mchezo ambao hata kocha Basena wa Simba anautumia,kuwachezesha mabeki wawili wa kulia ambao kwa wakati mmoja wanacheza kama viungo washambuliaji wa pembeni na pia kama mabeki......

Half Time sasa

Yanga 0:0 St. George
 
Back
Top Bottom