CECAFA KAGAME CUP 2011 Finals in Tanzania

CECAFA KAGAME CUP 2011 Finals in Tanzania

Dakika ya 82

Inpigwa free kick kuelekea lango la Simba...

Nurudin anaigaaaaaa..............Kapaisha
 
Hata mtangazaji wa KIarabu anasema penalt ile ndio beba sasa refa refa refaaaaaaaaaa.
 
Ncha ya kiatu imegusa mistari ya Adidas kidogo jamani ni Penalt ile...
 
aaahah mwanangu ananiita tena angejua nipo kabatini.dakika ya ngapi tena naona kama matuta yananukia?
 
Simba mnatafuta penalt za bure??haha chezeni mpira bana
 
Simba tusikate tamaa wachezaji washaanza shingo cxhini
 
Back
Top Bottom