CECAFA KAGAME CUP 2011 Finals in Tanzania

CECAFA KAGAME CUP 2011 Finals in Tanzania

Kwana namna yoyote hata kama wanacheza butua butua ushindi kwa wekundu ni lazima
 
Towa pasi kenge weeeeeeeeeeeeeeeee ah simba wananiuzi.
 
mwape sasa anacheza mieleka sioni chochote anachofanya washabiki wa simba naona wanarusha mawe kwenye track kulee
 
Dah Kama Mshabik iwa SImba sina Unazi Kipindi cha pili dk 20 za mwisho tumepoteza muelekeo wa mpira tumerudi Mipira ya Idi Amin piga tu kwa madotchi ya dole gumba.
 
14.jpg
 
Back
Top Bottom