Besta Mlagila
Senior Member
- May 29, 2018
- 101
- 192
Huyu afukuzwe, kesho ataleta taabu kubwa, pandikizi la ccmHizi bange huwa sizipendi, kwahio alitakaje? Yaani Mbowe apige kampeni? Kweli? Hebu aondoke zake.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hana madhara tutamdhibiti kwa demokrasia hadi akatubu! Wanakimbia wenyewe wakishindwa! Wanarudi kwa muumba wao CCM
Ona huyu Nyoko nae! Na ccm imekua Saccos ya Wasukuma? Acha ukabila wewe shetaniHiyo ni Sacco's ya wachaga kaka, pole sana.
Ila huo udikteta hauna nafasi
Sent using Jamii Forums mobile app
Wizi wa kura uko kwenye mfumo wa damu wa ccm hivyo hata ukiwapima Kwa DNA wizi wa kura utaonekana tu maana ccm imejengwa kwa misingi ya wizi uliokubuhu!!Cha kujifunza hapo ni kwamba kutokukubali kushindwa iko kwenye DNA ya chadema na wao kila siku wakishindwa husingizia kuibiwa kura, sijui ni nani aliwadanganya kwamba kukubali kushindwa ni udhaifu?
Sasa huyo jamaa wa Mtwara alitegemea kiukweli kabisa Wachaga wamkabidhi Chama?
Acha basi kumdhalilisha Kamanda wangu!Siku zote hili jina nilikua najua la mwanamke
Mwanamke ni Cecilia wakati mwanaume ni Cecil....Siku zote hili jina nilikua najua la mwanamke