Cecil Mwambe: Nimeshindwa kwenye uchaguzi Mkuu wa CHADEMA kwa kuwa uwanja haukuwa sawa

Cha kujifunza hapo ni kwamba kutokukubali kushindwa iko kwenye DNA ya chadema na wao kila siku wakishindwa husingizia kuibiwa kura, sijui ni nani aliwadanganya kwamba kukubali kushindwa ni udhaifu?
Sasa huyo jamaa wa Mtwara alitegemea kiukweli kabisa Wachaga wamkabidhi Chama?
Kwani Mbowe ni mchaga?!!
 
Sasa wewe jinga wachagga wameingiaje kwa hiyo mjadala. Hilo jalala la lumumba linakutesa sana. Njo Marangu huku upate deal za mwakani. Kila siku wachaga wachaga unakuwa kama paka aliyeachika kwa mumewe

Hahaha hiyo Paka kuachika kwa mumewe sijawahi sikia, kwani Paka huwa wana Mahusiano ya kudumu kama binadamu? Najua Njiwa huwa wana mahusiano nilishawahi kufuga ila Paka sijawahi kusikia.
 
Eti chama kitoke kaskazini kiende kusini,thubutu labda siyo DJ mbowe
Cha kujifunza hapo ni kwamba kutokukubali kushindwa iko kwenye DNA ya chadema na wao kila siku wakishindwa husingizia kuibiwa kura, sijui ni nani aliwadanganya kwamba kukubali kushindwa ni udhaifu?
Sasa huyo jamaa wa Mtwara alitegemea kiukweli kabisa Wachaga wamkabidhi Chama?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni kweli huyo Mwambe kupewa dakika 5 kunadi sera zake haikuwa sawa wala haki, ila hata kama angepewa wiki, yeye hakuwa mtu sahihi kwa nafasi ya uwenyekiti wa cdm. Cdm tumeshaona madhara ya wanaccm waliopewa vyeo ndani ya cdm. Mimi siafiki Mbowe kuendelea kuwa mwenyekiti wa cdm, lakini nitakuwa mwendawazimu kutaka Mwambe awe mwenyekiti wa cdm.
 
Mimi huwa natamani sana siku moja tupate mwenyekiti wa tume ya uchaguzi mwendawazimu ila like 2020 Magufuli akiwa pale mbele anasubiria kutangazwa then ghafla asikie akitangazwa mwingine ili tujipime uwezo wetu wa kukubali matokeo
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Cha kujifunza hapo ni kwamba kutokukubali kushindwa iko kwenye DNA ya chadema na wao kila siku wakishindwa husingizia kuibiwa kura, sijui ni nani aliwadanganya kwamba kukubali kushindwa ni udhaifu?
Sasa huyo jamaa wa Mtwara alitegemea kiukweli kabisa Wachaga wamkabidhi Chama?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni kweli huyo Mwambe kupewa dakika 5 kunadi sera zake haikuwa sawa wala haki, ila hata kama angepewa wiki, yeye hakuwa mtu sahihi kwa nafasi ya uwenyekiti wa cdm. Cdm tumeshaona madhara ya wanaccm waliopewa vyeo ndani ya cdm. Mimi siafiki Mbowe kuendelea kuwa mwenyekiti wa cdm, lakini nitakuwa mwendawazimu kutaka Mwambe awe mwenyekiti wa cdm.
Kutetea mfumo-mtu sio Jambo dogo maana kesho hujui atamrithisha Nani 'ufalme' wake.
 
View attachment 1298148
Ikiwa ni siku moja imepita tangu kufanyika kwa uchaguzi wa viongozi wa kitaifa wa CHADEMA na viongozi hao kupatikana, aliyekuwa mgombea wa nafasi ya mwenyekiti na kushindwa Mhe. Cecil Mwambe amesema kuwa, ameshindwa kwenye uchaguzi huo kwa kuwa 'uwanja haukuwa sawa'.

Amesema "Mhe. Mwenyekiti (Freeman Mbowe) aliongoza vikao mfululizo kwa nafasi yake(Mwenyekiti), na muda wote vikao hivyo vilikuwa ni sehemu ya kampeni, kuongea na wanachama kwa nyakati tofauti, halafu mimi nikapewa dakika 5 niombe kura na maswali matatu, jumla dakika 8"
Kwahiyo Kusanya Virako vyako .Rudi Nyumbani....Tunakusubiri
 
Back
Top Bottom