Cecil Mwambe: Nimeshindwa kwenye uchaguzi Mkuu wa CHADEMA kwa kuwa uwanja haukuwa sawa

View attachment 1298148
Ikiwa ni siku moja imepita tangu kufanyika kwa uchaguzi wa viongozi wa kitaifa wa CHADEMA na viongozi hao kupatikana, aliyekuwa mgombea wa nafasi ya mwenyekiti na kushindwa Mhe. Cecil Mwambe amesema kuwa, ameshindwa kwenye uchaguzi huo kwa kuwa 'uwanja haukuwa sawa'.

Amesema "Mhe. Mwenyekiti (Freeman Mbowe) aliongoza vikao mfululizo kwa nafasi yake(Mwenyekiti), na muda wote vikao hivyo vilikuwa ni sehemu ya kampeni, kuongea na wanachama kwa nyakati tofauti, halafu mimi nikapewa dakika 5 niombe kura na maswali matatu, jumla dakika 8"
Aende mbogamboga tuone kama atapata level playing ground
 
Sifahamu sheria na kanuni za CDM zimekaaje wakati wa mchakato wa kugombea uenyekiti haliyakuwa mwenyekiti aliyopo ni mgombea pia wa nafasi hyo,binafsi naona kama vikao hvyo Vngeongzwa na makamu mwenyekiti au mtu mwingine tu ambaye si mgombea
Achana na mawazo hayo katiba haisemi mgombea anajivua nyazifa zake, ila wakati wa zoezi la uchaguzi anasimamia mwingine.
 
Ni kweli huyo Mwambe kupewa dakika 5 kunadi sera zake haikuwa sawa wala haki, ila hata kama angepewa wiki, yeye hakuwa mtu sahihi kwa nafasi ya uwenyekiti wa cdm. Cdm tumeshaona madhara ya wanaccm waliopewa vyeo ndani ya cdm. Mimi siafiki Mbowe kuendelea kuwa mwenyekiti wa cdm, lakini nitakuwa mwendawazimu kutaka Mwambe awe mwenyekiti wa cdm.
Unamkubalu Nyalandu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hoja dhaifu sana, yaani kura kuomba alisubiri hadi ukumbini? Kwani kampeni maana yake nn
 
View attachment 1298148
Ikiwa ni siku moja imepita tangu kufanyika kwa uchaguzi wa viongozi wa kitaifa wa CHADEMA na viongozi hao kupatikana, aliyekuwa mgombea wa nafasi ya mwenyekiti na kushindwa Mhe. Cecil Mwambe amesema kuwa, ameshindwa kwenye uchaguzi huo kwa kuwa 'uwanja haukuwa sawa'.

Amesema "Mhe. Mwenyekiti (Freeman Mbowe) aliongoza vikao mfululizo kwa nafasi yake(Mwenyekiti), na muda wote vikao hivyo vilikuwa ni sehemu ya kampeni, kuongea na wanachama kwa nyakati tofauti, halafu mimi nikapewa dakika 5 niombe kura na maswali matatu, jumla dakika 8"
Kule kanda mbona yey aliongoza na akapigwa chini.Aache visingizio
 
View attachment 1298148
Ikiwa ni siku moja imepita tangu kufanyika kwa uchaguzi wa viongozi wa kitaifa wa CHADEMA na viongozi hao kupatikana, aliyekuwa mgombea wa nafasi ya mwenyekiti na kushindwa Mhe. Cecil Mwambe amesema kuwa, ameshindwa kwenye uchaguzi huo kwa kuwa 'uwanja haukuwa sawa'.

Amesema "Mhe. Mwenyekiti (Freeman Mbowe) aliongoza vikao mfululizo kwa nafasi yake(Mwenyekiti), na muda wote vikao hivyo vilikuwa ni sehemu ya kampeni, kuongea na wanachama kwa nyakati tofauti, halafu mimi nikapewa dakika 5 niombe kura na maswali matatu, jumla dakika 8"
Hizi ni exit strategy za wanaohamia upande wa mawe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cdm sijui ilijuaje kama ni pandikizi halafu kuna yule Mwambe tena nae ni pandikizi wamelikata kichwa

Sent using Jamii Forums mobile app
Mtu anayejiunga na chama kwa vile kule aliko kakosa kitu fulani, mwangalie sana. Keep an open eye on him! Siwezi kukuachia nyumba yangu! Slaa ilikuwa makosa makubwa, wamejifunza! Lwaitama, Lazoro Nyarandu are commited! Nyarandu ameacha uhondo wa ubunge kupinga "ushenzi" wa CCM
 
View attachment 1298148
Ikiwa ni siku moja imepita tangu kufanyika kwa uchaguzi wa viongozi wa kitaifa wa CHADEMA na viongozi hao kupatikana, aliyekuwa mgombea wa nafasi ya mwenyekiti na kushindwa Mhe. Cecil Mwambe amesema kuwa, ameshindwa kwenye uchaguzi huo kwa kuwa 'uwanja haukuwa sawa'.

Amesema "Mhe. Mwenyekiti (Freeman Mbowe) aliongoza vikao mfululizo kwa nafasi yake(Mwenyekiti), na muda wote vikao hivyo vilikuwa ni sehemu ya kampeni, kuongea na wanachama kwa nyakati tofauti, halafu mimi nikapewa dakika 5 niombe kura na maswali matatu, jumla dakika 8"
ivi chadema wanasubiria nn kumfukuza uyu
 
Sifahamu sheria na kanuni za CDM zimekaaje wakati wa mchakato wa kugombea uenyekiti haliyakuwa mwenyekiti aliyopo ni mgombea pia wa nafasi hyo,binafsi naona kama vikao hvyo Vngeongzwa na makamu mwenyekiti au mtu mwingine tu ambaye si mgombea
Bado Mwambe asngefikisha kura 60!
 
Mkuu Pascal Mayalla
Kuna uzi tulikuwa na majadiliano na Mkuu JokaKuu kuhusu haya ya uchaguzi

Niliweka wazi kuwa mazingira ya uchaguzi hayakuakisi kauli ya chama ''Demokrasia''

Watu wanamshambulia Cecil Mwambe badala ya kushambulia hoja.
Inapoletwa hoja humshambulia mleta hoja na si hoja yenyewe. Kuna tatizo kwa vijana hawa

Anachosema Cecil Mwambe ni kweli.
Kazi ya m/kiti ilikuwa kuhakikisha chaguzi za mabaraza zinafanyika kwa haki huru na usawa.

Kazi ya kueleza shughuli za chama kwa miaka ' zingefanywa na katibu mkuu aliyepo katika kikao cha mkutano mkuu. Kama ingalibidi mwenyekiti pengine angefanya hilo katika kikao hicho

Kilichojitokeza ni Mwenyekiti kutumia wadhifa wake ''kujinadi'' katika mabaraza kama Bawacha

Katibu mkuu na Wazee wengine wangeweza kufanya kazi hiyo akijua yeye ni mshindani

Wapi Mwambe alipata fursa ya kuongea na Bavicha, Bawacha n.k?

Ni kweli kwamba Mbowe alifanya kampeni kwa leverage yake na Mwambe hakupata fursa hiyo. Uwanja haukuwa sawa na hilo lisemwe tu

Mwambe asingeshinda Uenyekiti hata kama Mbowe asingefanya kampeni.
Tayari alishapoteza nafasi yake kanda ya kusini kama alivyopoteza Sumaye dhidi ya ''kivuli''

Hawa wote wana ufanano, kwamba, walichukua fomu za uenyekiti.

Hili narudia kusema si bahati labda msemo huu ubadilishwe '' one an incident two's a coincidence three's a pattern''

Huwezi kukataliwa katika kanda ukakubalika kitaifa!

Swali walisolotaka kujiuliza wanachama wa CDM ni kwamba, hivi Sumaye na Mwambe walishindwa kuongoza kanda zao? Na ilikuwaje kwa muda wote huo bila uongozi kujua?

Hoja muhimu ukiachilia mauza uza hayo ni kuwa CDM inapoteza ''moral campus''

Uchaguzi wao ulitakiwa uwe pristine and benchmark for the rest!

Haiwezekani CDM inayojinasibu kama chama cha Demokrasia ikaendesha uchaguzi kimtindo halafu wakatoka Mlimani City na kuwasota madole watalaam wa Mitindo a.k.a Chama kubwa

Sina tatizo la nani kashindwa nani kashinda na wala sihoji matokeo au uhalali wake

Ninatatizo na process. It was flawed and tainted
 
Back
Top Bottom