Kutetea mfumo-mtu sio Jambo dogo maana kesho hujui atamrithisha Nani 'ufalme' wake.
View attachment 1298148
Ikiwa ni siku moja imepita tangu kufanyika kwa uchaguzi wa viongozi wa kitaifa wa CHADEMA na viongozi hao kupatikana, aliyekuwa mgombea wa nafasi ya mwenyekiti na kushindwa Mhe. Cecil Mwambe amesema kuwa, ameshindwa kwenye uchaguzi huo kwa kuwa 'uwanja haukuwa sawa'.
Amesema "Mhe. Mwenyekiti (Freeman Mbowe) aliongoza vikao mfululizo kwa nafasi yake(Mwenyekiti), na muda wote vikao hivyo vilikuwa ni sehemu ya kampeni, kuongea na wanachama kwa nyakati tofauti, halafu mimi nikapewa dakika 5 niombe kura na maswali matatu, jumla dakika 8"
Vitu vingine ni kujitakia tu! Sasa kabisa Mwambe alifikiri wachaga wanaweza kumwachia yeye awe mwenyekiti?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu kama unataka kuondoka ni vema ukaondoka kwa amani tulisikia kuwa moyo wako CCM ila mwili upo Chadema,CCM hawakukutaka 2015 lakini Chadema walikuthamini wakakupigania ukawa Mbunge hebu uwe na shukrani.View attachment 1298148
Ikiwa ni siku moja imepita tangu kufanyika kwa uchaguzi wa viongozi wa kitaifa wa CHADEMA na viongozi hao kupatikana, aliyekuwa mgombea wa nafasi ya mwenyekiti na kushindwa Mhe. Cecil Mwambe amesema kuwa, ameshindwa kwenye uchaguzi huo kwa kuwa 'uwanja haukuwa sawa'.
Amesema "Mhe. Mwenyekiti (Freeman Mbowe) aliongoza vikao mfululizo kwa nafasi yake(Mwenyekiti), na muda wote vikao hivyo vilikuwa ni sehemu ya kampeni, kuongea na wanachama kwa nyakati tofauti, halafu mimi nikapewa dakika 5 niombe kura na maswali matatu, jumla dakika 8"
View attachment 1298148
Ikiwa ni siku moja imepita tangu kufanyika kwa uchaguzi wa viongozi wa kitaifa wa CHADEMA na viongozi hao kupatikana, aliyekuwa mgombea wa nafasi ya mwenyekiti na kushindwa Mhe. Cecil Mwambe amesema kuwa, ameshindwa kwenye uchaguzi huo kwa kuwa 'uwanja haukuwa sawa'.
Amesema "Mhe. Mwenyekiti (Freeman Mbowe) aliongoza vikao mfululizo kwa nafasi yake(Mwenyekiti), na muda wote vikao hivyo vilikuwa ni sehemu ya kampeni, kuongea na wanachama kwa nyakati tofauti, halafu mimi nikapewa dakika 5 niombe kura na maswali matatu, jumla dakika 8"
Mkuu Mwambe hata ungepewa miaka 10 usingeweza kumng'oa Mbowe hata kwa gredaView attachment 1298148
Ikiwa ni siku moja imepita tangu kufanyika kwa uchaguzi wa viongozi wa kitaifa wa CHADEMA na viongozi hao kupatikana, aliyekuwa mgombea wa nafasi ya mwenyekiti na kushindwa Mhe. Cecil Mwambe amesema kuwa, ameshindwa kwenye uchaguzi huo kwa kuwa 'uwanja haukuwa sawa'.
Amesema "Mhe. Mwenyekiti (Freeman Mbowe) aliongoza vikao mfululizo kwa nafasi yake(Mwenyekiti), na muda wote vikao hivyo vilikuwa ni sehemu ya kampeni, kuongea na wanachama kwa nyakati tofauti, halafu mimi nikapewa dakika 5 niombe kura na maswali matatu, jumla dakika 8"
Mbona sura tu inaonekana ni pandikizi? Sasa mtu kama huyu unampa uenyekiti wa chama kikuu cha upinzani. Utakuwa na akili kweli? Wengine waende wakauze korosho jamani!View attachment 1298148
Ikiwa ni siku moja imepita tangu kufanyika kwa uchaguzi wa viongozi wa kitaifa wa CHADEMA na viongozi hao kupatikana, aliyekuwa mgombea wa nafasi ya mwenyekiti na kushindwa Mhe. Cecil Mwambe amesema kuwa, ameshindwa kwenye uchaguzi huo kwa kuwa 'uwanja haukuwa sawa'.
Amesema "Mhe. Mwenyekiti (Freeman Mbowe) aliongoza vikao mfululizo kwa nafasi yake(Mwenyekiti), na muda wote vikao hivyo vilikuwa ni sehemu ya kampeni, kuongea na wanachama kwa nyakati tofauti, halafu mimi nikapewa dakika 5 niombe kura na maswali matatu, jumla dakika 8"
HamaView attachment 1298148

Una shida kwenye uandishi, kajifunze kuandika kwanza