Cecil Mwambe: Sihitaji mtu anichukulie fomu, nitaenda kuchukua mwenyewe ila tuwe pamoja kwenye kampeni kama mnanikubali

Cecil Mwambe: Sihitaji mtu anichukulie fomu, nitaenda kuchukua mwenyewe ila tuwe pamoja kwenye kampeni kama mnanikubali

chaguzi nyingi sana CHADEMA imeshindwa, huo ni udhaifu wa Mbowe
Hii ndio vicious cycle na ni bora zaidi ikakuathiri materially na sio mentally!
Ukiiuliza awamu ya tano wanakwambia matatizo yalisababishwa na JK, ukiwauliza awamu ya JK wanasema matatizo yalisababishwa na Mkapa, ukiwauliza watu wa awamu ya tatu wanasema yalisababishwa na Rukhsa na ukiwauliza wa Mzee Mwinyi watasema matatizo yalisababishwa na Mwalimu! Na ukienda kwa wale wa Mwalimu wanakwambia matatizo tuliletewa na mkoloni!
Miaka zaidi ya 60 hakujatookea kizazi cha kukubali makosa na kuamua kwenda mbele badala ya kulia lia na kulaumu. Mpaka unashindwa kuona kuwa sheria za uchaguzi ziko wazi lakini zimevurugwa kwa makusudi. Kushindwa kukubali 'hesabu' hii ya darasa la pili hakika huwezi kwenda sekondari!
 
Mwambe awambie na wadogo zake SIMBEYE na GWAMAKA kwamba kamwe hawataweza kutoboa. tumewashtukia mapema.
 
Mgombea wa nafasi ya Mwenyekiti wa Chadema mh Cecil Mwambe amesema haitaji watu wa kumchukulia fomu kwani zoezi hilo atalifanya yeye mwenyewe kwa kuwa anajiamini.

Mwambe amesema anachoomba ni ushirikiano kutoka kwa wale wote wenye mapenzi mema na Chadema ili kwa pamoja waweze kushinda.

Source Global tv

My take; Nakubaliana na Mwambe mambo ya kuchukuliana fomu ni mbinu za kizamani zilixotumiwa na akina rip Bamchawi pale Simba SC!
Huyo mwambie aende lumumba akachukue fomu,akikosa aende kugombe UDP au TLP
 
Gwamaka ameanza kukabiliwa na shutuma za kuhusishwa na Cecil Mwambe ambaye ni mgombea wa uenyekiti wa chama Taifa akimkabiri Freeman Mbowe. Kashfa hii haiwezi kuamcha salama hata kidogo hasa ukizingatia shaka anayotiliwa mh Mwambe kwamba anatumika na TISS. Kashfa ya kutumika na Mwambe haijamuacha salama pia mgombea mwingine kwa nafasi hii, huyu ni Edward Simbeye anatuhumiwa kufadhiliwa malazi na chakula wakati wa safari yake mkoani Dodoma hivi karibuni katika kikao cha KK ya chama.
 
Wewe unaijua vizuri historia ya Freeman Mbowe?!
 
Bado anagombea kanda ya kusini?!

Nyie ndio mnafanya mawakili wa Kenya wawadharau wanasheria wa Tanzania........ Umeshawahi kushinda kesi kweli wewe au ndio degree za Gambo hizo?.........Bure kabisa!
Atakua na PhD kama ya Mzee Meko (Kichaa) ambaye alijifunza neno moja tu la kikemia "Catalyst" na kisha kukariri definition yake na baada ya hapo wale maprofesa wa Jalalani wakamtunuku PhD.
 
Mbowe kafanya jambo la kitoto na kijinga maigizo ya kuchukuliwa fomu, hiyo inaonyesha Mbowe uwezo wake wa kiuongozi ni mdogo na hana tena la kuisaidia CHADEMA, Ni vizuri Mbowe akae pembeni apishe mawazo mapya
Msingempiga vita.
 
Kwani Cecil mwambe ni mama? Au anayegombea naye ndo anaonekana mama?
Mama, utaweza kulala sero? kwanza ushalala hata mara moja? sisemi kwamba kigezo ni kulala sero hapana ila kwenye kazi zao ya uwenyekiti sero na Central basi itakuwa sebureni kwako....yaani ni uji kwa mgonjwa...

Kheri maneno hayo angeyasema Mdee walau ningeshawishika......mama yangu nikwambie kitu kwa mtu mwaminifu kabisa kabisa kazi ya uwenyekiti wa CDM Taifa si ya kukimbilia hata kidogo....
 
Atakua na PhD kama ya Mzee Meko (Kichaa) ambaye alijifunza neno moja tu la kikemia "Catalyst" na kisha kukariri definition yake na baada ya hapo wale maprofesa wa Jalalani wakamtunuku PhD.
Chadema kuna PhD mojja tu ya Prof Jay!
 
Wanachadema hakuna haja ya kuwa na hofu. Kama Mbowe amefanya mambo makubwa na ya kutukuka na bado mnamuhitaji sana atawale na kuongoza milele dumu, just stay cool, acheni watu wachukue form na siku ya uchaguzi mkamchague Mbowe kwa ushindi wa kishindo. Hakuna haja ya kuanza vilio vya hofu mara huyu ‘pandikizi la chama kile’ au huyu hafai maana ‘hajawahi kulala selo’. Acheni kura ziamue.

Msiwe kama CCM wanaojigamba kufanya mambo makubwa sana ila wanahofia uchaguzi huru vibaya mnooo.
 
Mgombea wa nafasi ya Mwenyekiti wa Chadema mh Cecil Mwambe amesema haitaji watu wa kumchukulia fomu kwani zoezi hilo atalifanya yeye mwenyewe kwa kuwa anajiamini.

Mwambe amesema anachoomba ni ushirikiano kutoka kwa wale wote wenye mapenzi mema na Chadema ili kwa pamoja waweze kushinda.

Source Global tv

My take; Nakubaliana na Mwambe mambo ya kuchukuliana fomu ni mbinu za kizamani zilixotumiwa na akina rip Bamchawi pale Simba SC!
Pandikizi linachukua fomu,

Huyu dogo ameanza vibaya kuchukua fomu tayari kaanza shobo, kwa mwenyekiti anayemaliza muda wake,
 
Back
Top Bottom