Cecil Mwambe: Sihitaji mtu anichukulie fomu, nitaenda kuchukua mwenyewe ila tuwe pamoja kwenye kampeni kama mnanikubali

Hoja zako zachekesha na kutia huruma. Ulitaka akachukue fomu kilumumbalumumba?
Mbowe kafanya jambo la kitoto na kijinga maigizo ya kuchukuliwa fomu, hiyo inaonyesha Mbowe uwezo wake wa kiuongozi ni mdogo na hana tena la kuisaidia CHADEMA, Ni vizuri Mbowe akae pembeni apishe mawazo mapya
 
Sisi haya mambo huwa hatupendi kumpa wakat mgumu rais wa nchi kuanza kampeni za uenyekiti wa chama. Yeye afanye majukumu ya urais tu,uenyekiti tunamkabidhi.
 
Utaitwa Msaliti,Umenunuliwa,Unavuruga chama na Pandikizi lakini usife moyo onyesha njia hiyo Ndio demokrasia.Leo hii akijitokeza mtu kumpinga Magufuli tegemea lugha hizo ukimpinga Zitto Kabwe tegemea lugha hizo Ukimpinga Lipumba tegemea lugha hizo ,ukweli hawa wanasiasa wanaimba Demokrasia wakati hawataki iwaguse Kwa njia yoyote ila kama inawapendelea.
Mwambe Mbele Kwa mbele lakini na wewe ukubali matokeo usije na lugha Za ujima Za kutotambua matokeo
 
Hii ya mbowe kuigiza kuchangiwa pesana kuchukuliwa form nidariri za uoga nakutaka kuwafanya wengine wasigombee , mimk mwanachadema sisi huku kimara mbowe na myika hatutaki haya kuwasikia
hama chama unga mkono juhudi
 
Utaitwa Msaliti,Umenunuliwa,Unavuruga chama na Pandikizi lakini usife moyo onyesha njia hiyo Ndio demokrasia.Leo hii akijitokeza mtu kumpinga Magufuli tegemea lugha hizo ukimpinga Zitto Kabwe tegemea lugha hizo Ukimpinga Lipumba tegemea lugha hizo ,ukweli hawa wanasiasa wanaimba Demokrasia wakati hawataki iwaguse Kwa njia yoyote ila kama inawapendelea.
Mwambe Mbele Kwa mbele lakini na wewe ukubali matokeo usije na lugha Za ujima Za kutotambua matokeo
Mgombea anayetaka kuongoza chama lakini ajenda yake siyo kuitoa Ccm madarakani hatufai
 
Mbowe kafanya jambo la kitoto na kijinga maigizo ya kuchukuliwa fomu, hiyo inaonyesha Mbowe uwezo wake wa kiuongozi ni mdogo na hana tena la kuisaidia CHADEMA, Ni vizuri Mbowe akae pembeni apishe mawazo mapya
Laki si Pesa..... CCM # ONE
 
Kila mwanachadema ana haki ya kuchagua na kuchaguliwa kama atakidhi vigezo.

Kama tunadhani kwamba Cecil Mwambe ni pandikizi la ccm kwanini hatudhani Lowassa na wafuasi wake nao walikuwa mapandikizi ya ccm kiasi tuliwaamini na kuwapa ugombea wa nafasi mbalimbali za kitaifa?

Tujitofautishe na wale wengine kwa kuonyesha kuwa ndani ya CHADEMA kuna demokrasia ya kweli siyo figisu figisu za kitoto
Pandikizi la CCM Hilo, tumeshalishitukia
 
Kila mwanachadema ana haki ya kuchagua na kuchaguliwa kama atakidhi vigezo.

Kama tunadhani kwamba Cecil Mwambe ni pandikizi la ccm kwanini hatudhani Lowassa na wafuasi wake nao walikuwa mapandikizi ya ccm kiasi tuliwaamini na kuwapa ugombea wa nafasi mbalimbali za kitaifa?

Tujitofautishe na wale wengine kwa kuonyesha kuwa ndani ya CHADEMA kuna demokrasia ya kweli siyo figisu figisu za kitoto
Hakika mkuu!
 
Back
Top Bottom