Chapa Nalo Jr
JF-Expert Member
- Dec 8, 2010
- 7,518
- 6,506
Kuna mtu kanidokeza hapa kwamba hivi majuzi kati Jiwe alimsifia kiana na kuahidi kumrudisha ccm! Hivi ni kweli!?Huyu sio pandikizi la ccm? Maana alitokea chama kile
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna mtu kanidokeza hapa kwamba hivi majuzi kati Jiwe alimsifia kiana na kuahidi kumrudisha ccm! Hivi ni kweli!?Huyu sio pandikizi la ccm? Maana alitokea chama kile
Mbowe kafanya jambo la kitoto na kijinga maigizo ya kuchukuliwa fomu, hiyo inaonyesha Mbowe uwezo wake wa kiuongozi ni mdogo na hana tena la kuisaidia CHADEMA, Ni vizuri Mbowe akae pembeni apishe mawazo mapya
Bila ushabiki nahisi huyu mwambe hajarudi ccm ili atimize mission ya kuua chademaKuna mtu kanidokeza hapa kwamba hivi majuzi kati Jiwe alimsifia kiana na kuahidi kumrudisha ccm! Hivi ni kweli!?
hama chama unga mkono juhudiHii ya mbowe kuigiza kuchangiwa pesana kuchukuliwa form nidariri za uoga nakutaka kuwafanya wengine wasigombee , mimk mwanachadema sisi huku kimara mbowe na myika hatutaki haya kuwasikia
Tulia ww mzww wa kusifia na mapambio juuTulia wewe! Dawa iwaingie
Mgombea anayetaka kuongoza chama lakini ajenda yake siyo kuitoa Ccm madarakani hatufaiUtaitwa Msaliti,Umenunuliwa,Unavuruga chama na Pandikizi lakini usife moyo onyesha njia hiyo Ndio demokrasia.Leo hii akijitokeza mtu kumpinga Magufuli tegemea lugha hizo ukimpinga Zitto Kabwe tegemea lugha hizo Ukimpinga Lipumba tegemea lugha hizo ,ukweli hawa wanasiasa wanaimba Demokrasia wakati hawataki iwaguse Kwa njia yoyote ila kama inawapendelea.
Mwambe Mbele Kwa mbele lakini na wewe ukubali matokeo usije na lugha Za ujima Za kutotambua matokeo
Safi ili ccm itawale milelechaguzi nyingi sana CHADEMA imeshindwa, huo ni udhaifu wa Mbowe
Laki si Pesa..... CCM # ONEMbowe kafanya jambo la kitoto na kijinga maigizo ya kuchukuliwa fomu, hiyo inaonyesha Mbowe uwezo wake wa kiuongozi ni mdogo na hana tena la kuisaidia CHADEMA, Ni vizuri Mbowe akae pembeni apishe mawazo mapya
Pandikizi la CCM Hilo, tumeshalishitukia
@manengelo pls come au week 2 zijazo nitakuwepo maeneo ya kwenuMbowe hawez filisika km mnavyowish..mshindwe
Ss hv nna sehem 2 ambazo ni kwangu mkuu..😉sijui wamaanisha wap!@manengelo pls come au week 2 zijazo nitakuwepo maeneo ya kwenu
Nitakufika Igunga so ratiba ikiruhusu nnaweza nikafika Kahama ambapo huwa unajinadi unapatikana kwa sanaSs hv nna sehem 2 ambazo ni kwangu mkuu..[emoji6]sijui wamaanisha wap!
Nitakufika Igunga so ratiba ikiruhusu nnaweza nikafika Kahama ambapo huwa unajinadi unapatikana kwa sana
Mbona unacheka sweet,au unajimbafayi unapatikanaga Kahama[emoji28]najinadi!??[emoji28][emoji28]!
Hakika mkuu!Kila mwanachadema ana haki ya kuchagua na kuchaguliwa kama atakidhi vigezo.
Kama tunadhani kwamba Cecil Mwambe ni pandikizi la ccm kwanini hatudhani Lowassa na wafuasi wake nao walikuwa mapandikizi ya ccm kiasi tuliwaamini na kuwapa ugombea wa nafasi mbalimbali za kitaifa?
Tujitofautishe na wale wengine kwa kuonyesha kuwa ndani ya CHADEMA kuna demokrasia ya kweli siyo figisu figisu za kitoto
😅😅nimewaza neno kujinadi imebidi nicheke tu!Mbona unacheka sweet,au unajimbafayi unapatikanaga Kahama
Ww john mbona km uchaguzo wa chadema ww hulali kbs!?hebu ya chadema waachie wenyewe nyie shida yenu chadema ife mfurahi walozi wakubwa nyinyi😏!ndo maana mamipango yenu yote ynafeliHakika mkuu!