Miss Madeko
JF-Expert Member
- Apr 30, 2014
- 4,364
- 5,609
Kuna sababu nyingi: ngoja nikupe chache:
1. kujitambua kama icon unaeiwakilisha jamii
2. Utulivu katika ndoa, zari anaonekana amaetulia sana katika ndoa yake...
3. Uwezo wa kuzitumua fursa unazopata..zari katika fursa anawapita wote..alipata fursa ya kuolewa na diamond ameitumia kukuza biashara zake lakini kupata watoto wawili faster faster sasa kuwa icon wa gsmmalls nadhani akipata fursa zaidi atazitumia bala bala...
Hahahaha jinsi gani watz tulinavyojua kuahobokea wageni tu. Huyo zari anamapicha kibao ya ngono tena cyo ya nchi hii
Vanessa yupi?kuna vanessa anatafutwa na makonda mpaka muda huu hajareport central sasa mtu teja unaweza kumfanya brand ambassador wa kampuni?tuwe tu wakweli zari yupo smart kichwani.Zari ni next level
Nini Wema malalysia?
Venessa UK hata huyo Zari hampati kwa Elimu na malezi!
Vanessa yupi?kuna vanessa anatafutwa na makonda mpaka muda huu hajareport central sasa mtu teja unaweza kumfanya brand ambassador wa kampuni?tuwe tu wakweli zari yupo smart kichwani.
Local chicks wanakimbizwa na broiler kweli dunia kigeu geu
w....aCelebrities wengi wa bongo kichwani hamna kitu, wanajua njia moja tu ya kutafuta pesa
ndoa gani?Kuna sababu nyingi: ngoja nikupe chache:
1. kujitambua kama icon unaeiwakilisha jamii
2. Utulivu katika ndoa, zari anaonekana amaetulia sana katika ndoa yake...
3. Uwezo wa kuzitumua fursa unazopata..zari katika fursa anawapita wote..alipata fursa ya kuolewa na diamond ameitumia kukuza biashara zake lakini kupata watoto wawili faster faster sasa kuwa icon wa gsmmalls nadhani akipata fursa zaidi atazitumia bala bala...
Check PM nakudondoshealeta link prof na mie nikafaidi mautamu
[emoji3] [emoji3] [emoji3] Wema kasoma Malaysia mkuu , hata English yuko vizuri
Local nimemaanisha wa nyumbani mkuu kama unavyosema kuku wa kienyeji sijawananga kama unavyonituhumuAcha kuwananga wanawake wa kibongo wana ulocal gani fyuuuuu wewe ndio local
Hahahaha jinsi gani watz tulinavyojua kuahobokea wageni tu. Huyo zari anamapicha kibao ya ngono tena cyo ya nchi hii
Hapana wangeweza kuzaa na Chibu na kutosaka hela na kuishia kurusha visivyovutia katika picha, tunarudi kwa mengine alitowazidi waliyosema wengi humu. Walitoka na Diamond hawakumjua ni mwanaume anayependa nini au mwanamke wa kivipi, walijali kutanua tuuuuu. Pia Zari ana mengi sana amejivunia, zaidi ya wa nchini TZ.
Mbna hatumii hyo elimu Yake ya malyaisia[emoji3] [emoji3] [emoji3] Wema kasoma Malaysia mkuu , hata English yuko vizuri