Miss Madeko
JF-Expert Member
- Apr 30, 2014
- 4,364
- 5,609
Kuna sababu nyingi: ngoja nikupe chache:
1. kujitambua kama icon unaeiwakilisha jamii
2. Utulivu katika ndoa, zari anaonekana amaetulia sana katika ndoa yake...
3. Uwezo wa kuzitumua fursa unazopata..zari katika fursa anawapita wote..alipata fursa ya kuolewa na diamond ameitumia kukuza biashara zake lakini kupata watoto wawili faster faster sasa kuwa icon wa gsmmalls nadhani akipata fursa zaidi atazitumia bala bala...
CHA masihara Zari ana ndoa ipi aliyotulia?
Hapo tuu ni uwezo wa kutumia fursa basi utulivu upi? mwenye bahati ya kangaroo basi