Celebrities wa kike Bongo wanakosa nini ambacho Zari anacho?

Celebrities wa kike Bongo wanakosa nini ambacho Zari anacho?

Kuna sababu nyingi: ngoja nikupe chache:

1. kujitambua kama icon unaeiwakilisha jamii

2. Utulivu katika ndoa, zari anaonekana amaetulia sana katika ndoa yake...

3. Uwezo wa kuzitumua fursa unazopata..zari katika fursa anawapita wote..alipata fursa ya kuolewa na diamond ameitumia kukuza biashara zake lakini kupata watoto wawili faster faster sasa kuwa icon wa gsmmalls nadhani akipata fursa zaidi atazitumia bala bala...


CHA masihara Zari ana ndoa ipi aliyotulia?

Hapo tuu ni uwezo wa kutumia fursa basi utulivu upi? mwenye bahati ya kangaroo basi
 
Hahahaha jinsi gani watz tulinavyojua kuahobokea wageni tu. Huyo zari anamapicha kibao ya ngono tena cyo ya nchi hii


Nakubaiana na wewe kushobokea tuu wageni basi na huyo Zari anajua tuu kutumia fursa hakuna lingine
 
Vanessa yupi?kuna vanessa anatafutwa na makonda mpaka muda huu hajareport central sasa mtu teja unaweza kumfanya brand ambassador wa kampuni?tuwe tu wakweli zari yupo smart kichwani.


Ha ha ha ha hata jana ungekuwa wewe ni out of Tanzania na unajua international ungemwona Vanessa. usilolijua ni usiku wa giza..................................... unatakiwa ujue hata Beyonce kim Kadashian nao hivyo hivyo................
 
Kuna sababu nyingi: ngoja nikupe chache:

1. kujitambua kama icon unaeiwakilisha jamii

2. Utulivu katika ndoa, zari anaonekana amaetulia sana katika ndoa yake...

3. Uwezo wa kuzitumua fursa unazopata..zari katika fursa anawapita wote..alipata fursa ya kuolewa na diamond ameitumia kukuza biashara zake lakini kupata watoto wawili faster faster sasa kuwa icon wa gsmmalls nadhani akipata fursa zaidi atazitumia bala bala...
ndoa gani?
 
[emoji3] [emoji3] [emoji3] Wema kasoma Malaysia mkuu , hata English yuko vizuri

Mkuu English is not a measure of intelligence. Wema kasoma Malaysia, je alimaliza shule? Ana qualifications gani za Malaysia? Kuongea English hakumaanishi ana akili ya maisha. Mfano mzuri angalia maisha yake na matabia yake yanayoanikwa.

Tatizo la hao macelebrity wa Tz ni kwamba ni macelebrity uchwaraa. Yaani shule hamna kabisa, kinachofanya wanaitwa celebrity ni scandals za wanaume. Embu muangalie Genevive Nnaji, Mercy Johnson, Yvvone Nelson hawa ni mactresses na wamesoma vizuri na wakaingia acting ingawa hawakusomea acting. Sasa wafananishe na Wema Sepetu, Anty Ezekiel, Irene Uwoya na Wolper.

Zari hata kama hajasoma sana, ila amejiweka kiheshima na ana class. She and Diamond have built a brand for themselves. That is the difference between Zari na wadada wamujini wa Tz
 
Hahahaha jinsi gani watz tulinavyojua kuahobokea wageni tu. Huyo zari anamapicha kibao ya ngono tena cyo ya nchi hii

Uliyaona mara ngapi? Na tangu hiyo video ivujishwe na ex boyfriend wake umeiona nyingine? Zari re-invented herself na gave herself and Diamond a sense of a power couple. Zari is business minded and knows how to carry herself, hayo yote yamewapatia fans wengi sana. Ndio maana brands kama GSM wakaona anafaa kubeba brand yao.
 
Hiyo ndio tofauti kati ya mwanamke wa bongo na wanawake wa the rest of Africa
 
Hapana wangeweza kuzaa na Chibu na kutosaka hela na kuishia kurusha visivyovutia katika picha, tunarudi kwa mengine alitowazidi waliyosema wengi humu. Walitoka na Diamond hawakumjua ni mwanaume anayependa nini au mwanamke wa kivipi, walijali kutanua tuuuuu. Pia Zari ana mengi sana amejivunia, zaidi ya wa nchini TZ.

Upo sahihi. Hao wote walitoka na Dai lakini hawakuwa na akili ya kujua kwamba Dai shida yake haikua mwanamke mzuri wa kumpa pauchi kila siku. Dai alikua anataka mwanamke ambae pamoja na mapenzi, awe partner wake. Awe wana saidiana kiakili na kimaisha. Hapo ndipo Zari alipowashinda akina Wema na wenzie. You can see clearly Zari hajajibweteka tu kisa amezaa na super star. Ameona usuper star autumie kuibrand familia yao. Alipomzaa Tiffa, ilikua ni idea yake kwamba mtoto asionyeshwe mpaka 40 ifike na watumie hiyo fursa to brand their child. Idea ikanunuliwa na sponsor NMB na GSM pia. Unaona hapo?
Kuna team Wema humu watamtusi Zari na uzazi wake, lakini ukweli utabaki hivyo hivyo. Zari akija Tz hazururi m night clubs na mavigodoro kutwa kuchwa. Au mashoga kutwa kuchwa. Ni kitu kinachomfanya fans na wasio fans wawe na kiu ya kumuona. She has carried herself well and with class being Diamond's other half. Sasa mtu kama Wema kutwa yuko huku kule, mara anakata mauno stejini, mara ameenda kutangaza mimba ya wiki 6 kwenye radio, mara yuko na Mcongo, mara yuko na Calisah etc...kweli mtu mwenye biashara yake atataka iwe represented na mwanamke kama huyo?
Kuna kitu kinaitwa Brand Personality...ukielewa hii utaelewa why GSM used Zari and not Wema au Lulu etc
 
Back
Top Bottom