ni mwislamNgoja wenye Dini zao waje kukupopoa!
KaziKweliKweli/JobTrueTrue
P hajawahi kubadili dini, bali mama muislam akamwita Khalfan na baba mkristo ndio akamwita sijui nani,Kumbe P Funk alibadili dini
Hapo najua Barnaba ni kama Ben Pol tu...kiki
Hilo ni fumbo kumbuka mkono wa kushoto hauna nguvu ni sawa na mtoto akikosea mzazi mwenye nia njema atatumia kibojo sio runguMimi sio mwislamu ila uislamu una mambo mengi ya ukweli sana. Pia kwenye mambo ya haki ni dini nzuri tofauti na huku kwetu tunaambiwa mtu akikupiga kofi shavu la kulia mgeuzie la kushoto.
P hajawahi kubadili dini, bali mama muislam akamwita Khalfan na baba mkristo ndio akamwita sijui nani,
Kwanini mafumbo mafumbo?Hilo ni fumbo kumbuka mkono wa kushoto hauna nguvu ni sawa na mtoto akikosea mzazi mwenye nia njema atatumia kibojo sio rungu
Khalifani au PaulP hajawahi kubadili dini, bali mama muislam akamwita Khalfan na baba mkristo ndio akamwita sijui nani,
Kumbe P Funk alibadili dini
Hapo najua Barnaba ni kama Ben Pol tu...kiki
Pfunk alibatizwa kwa jina la Paul, baba yake alikuwa mkrsto,P hajawahi kubadili dini, bali mama muislam akamwita Khalfan na baba mkristo ndio akamwita sijui nani,