Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ok vyovyote vile lakini P Funk hapo mwanzo alikuwa anaitwa Paul na mshua wake alikuwa ni Mkristo hata nyumba ilikuwa ya kikristo, ukubwani huko akaona hawezi kuendelea na ukristo akahamia rasmi uislamu,Sio kweli. Upande wa mama yake ni waislamu ( kuna wabena waislamu ingawa sio wengi) na alipewa jina la Khalfan kwa sababu hiyo.
Duuuh! Umetokea wapi wewe? Nenda katafute interview aliyofanya na milad utapata majibukhalfan ni aka aliyopewa na juma nature hajawahi kuwa muislam,yeye mkristo na watoto wote wakristo.
Mwenye kuyaabudu majini huyo sio Muislam...bali huitwa ni Mushrik (mshirikina) hata kama atakuwa na jina la kiislam na kufanya ibada za kiislam. Kiuhalisia atakuwa ameshajivua vazi la uislam na ili kurejea tena ndani ya uislam anatakiwa aache kuyaabudu majini, atubie na atamke upya shahada yake ya kuingia tena katika uislam.Kila dini ina upande mweusi, Waislam wanaotumia majini ni kama kwenye ukristo papa francis anavyosema upinde wapewe baraka
Wengi wanaosilimu kuingia katika uislam ni matokeo ya wao kuitafuta, kuisoma na kuielewa haki.Asilimia kubwa ya wanaobadili dini ukubwani unakuta Kuna fuse Fulani kwenye UBONGO imelegea
🔹 Wingi unakuta ni depression za Maisha
🔹 Wengine ni ushawishi kwenye ajira wameshinikizwa hivyo ili kulinda ajira zao hasa zinaziusiana michezo michezo au Makampuni ya Matajiri wenye Imani hizo
🔹 Ushawishi wa wanawake, Kuna baadhi ya dini hutumiwa wanawake kama nyenzo za kueneza dini
🔹Limbwata la pilao
Hahaha 😂😂Allah na Yahweh wamefanana sana
Watu lazima wachanganyikiwe
Wengi wanaosilimu kuingia katika uislam ni matokeo ya wao kuitafuta, kuisoma na kuielewa haki.Asilimia kubwa ya wanaobadili dini ukubwani unakuta Kuna fuse Fulani kwenye UBONGO imelegea
🔹 Wingi unakuta ni depression za Maisha
🔹 Wengine ni ushawishi kwenye ajira wameshinikizwa hivyo ili kulinda ajira zao hasa zinaziusiana michezo michezo au Makampuni ya Matajiri wenye Imani hizo
🔹 Ushawishi wa wanawake, Kuna baadhi ya dini hutumiwa wanawake kama nyenzo za kueneza dini
🔹Limbwata la pilao
Hakuna ulazima wa kubadilisha jina lako mara baada ya kusilimu unless hilo jina liwe lina maana mbaya. Mfano mtu anaitwa mkosi ,mzimu au shida huyu anaruhusiwa kubadilisha jina na kuchagua jina zuri. Unaweza ukasilimu na ukabaki na jina lako hilohilo....imani huwa ipo moyoni.kwangu mtu maarufu aliyebadili dini na akaishika ni Muhammed Ally (R.I.P) mpiga ngumi wa kimarekani.
hawa wengine kina Tyson, Gervonta TANK Devis nk ni kujiangaisha tu. Mpaka leo Tyson hatumii jina lake la kiislam Abdul Malik muda wote anaandikwa kama Mike Tyson hali kadhalika kwa Tank.
we mbona ni muislam typically?Mimi sio mwislamu ila uislamu una mambo mengi ya ukweli sana. Pia kwenye mambo ya haki ni dini nzuri tofauti na huku kwetu tunaambiwa mtu akikupiga kofi shavu la kulia mgeuzie la kushoto.
Kujifunza au kufanya uchawi ni moja ya vipengele kumi vinavyomtoa mtu katika uislam.Mchawi yeyote na mshirikina sehemu anayoweza jisikia poa ni kwenye uislamu tu
UKRISTO Moto wa kuotea mbali hakuna kuendekeza inani za majini nk
Wale hawaeleweki wanapenda umagharibi sana kiufupi wanaipenda dunia na hata usoni hawana hofu ya munguShomari Kapombe baba Ester kutoka Uislam kwenda ukristo
Rose Muhando kutoka Uislam kwenda ukristo
Familia ya makamba ile sijui kama ni ys kiislam,wanapenda sana umagharibi magharibi