Celebrities wa Tanzania waliobadili dini na kuwa Waislam

Celebrities wa Tanzania waliobadili dini na kuwa Waislam

Asilimia kubwa ya wanaobadili dini ukubwani unakuta Kuna fuse Fulani kwenye UBONGO imelegea

🔹 Wingi unakuta ni depression za Maisha

🔹 Wengine ni ushawishi kwenye ajira wameshinikizwa hivyo ili kulinda ajira zao hasa zinaziusiana michezo michezo au Makampuni ya Matajiri wenye Imani hizo

🔹 Ushawishi wa wanawake, Kuna baadhi ya dini hutumiwa wanawake kama nyenzo za kueneza dini

🔹Limbwata la pilao
Hayo yapo ila kuna wengine especially ulaya na marekani wengi wao wanapendezwa na mfumo wa maisha wa kiislamu , kama huyu muandishi wa habari wa southafrica yeye kapenda unyenyekekevu wa waislamu kwa mola wao
 

Attachments

  • Screenshot_20240320-072925_Facebook.jpg
    Screenshot_20240320-072925_Facebook.jpg
    125 KB · Views: 6
Mwenye kuyaabudu majini huyo sio Muislam...bali huitwa ni Mushrik (mshirikina) hata kama atakuwa na jina la kiislam na kufanya ibada za kiislam. Kiuhalisia atakuwa ameshajivua vazi la uislam na ili kurejea tena ndani ya uislam anatakiwa aache kuyaabudu majini, atubie na atamke upya shahada yake ya kuingia tena katika uislam.
Uchawi wa kitabu ndio nini?
 
Tatizo lenu ni moja tu,huwa mnapenda sana kusikiliza maneno ya kuambiwa. Lau kama ungethubutu kufunua kitabu cha Quran na kusoma basi ungeijua misingi ya uislam na misimamo yake dhidi ya Uishirikina na Uchawi.

Uislam ndio dini ambayo iko mbali sana na ushirikina (kuabudu viumbe,vitu n.k pamoja na Mungu).

Quran imesema wazi kuwa mwenye kufa hali ya kuwa ni mshirikina basi huyo amepata hasara na mafikio yake ni moto mkali wa Jahannam. Mshirikina hata harufu ya pepo hatainusa licha ya kuwa harufu yake inasikika (inanusika) umbali wa safari ya miaka 40.
Surat al jinn kwanini ipo kwenye quran
 
Hao wengine wakibadili dini si inabidi wenzao wawaue au maandishi yao yanasemaje
Hii hakuna atakaejibu......watapita kama hawaioni.
SUDAN NORTH
PAKISTAN
BANGLADESH
AFGHANISTAN
IRAN
SAUDIA
YEMEN........ect
Ipo official kabisa ni marufuku kubadili dini........kama wewe umezaliwa muislamu......unauawa au kutengwa na jamii yako
 
DINI YA HAKI INAWATISHA WATU......

UKIBADILI DINI UNAUAWA....!!!
UKIHOJI NI KUFURU........
KUTUKANA NA KUDHALILISHA DINI ZA WENGINE NI SAWA......ILA DINI YAO IKIDHIAKIWA WANACHUKUA MAPANGA....
*****************
NISAIDIENI MAJIBU
 
kwangu mtu maarufu aliyebadili dini na akaishika ni Muhammed Ally (R.I.P) mpiga ngumi wa kimarekani.
hawa wengine kina Tyson, Gervonta TANK Devis nk ni kujiangaisha tu. Mpaka leo Tyson hatumii jina lake la kiislam Abdul Malik muda wote anaandikwa kama Mike Tyson hali kadhalika kwa Tank.
Sema jina la kiarabu mkuu 🤣🤣🤣
 
Wengi wanaosilimu kuingia katika uislam ni matokeo ya wao kuitafuta, kuisoma na kuielewa haki.

Tatizo lenu wengi hamjawahi kuishika Quran wala kuisoma ina ujumbe gani. Ila amini nakwambia lau kama ukikaa chini ukaifunua na kuisoma Quran basi kesho tu unaamua Kuslimu kwa uwezo wa Mungu.
Haki ipi mkuuu???
Waarabu wana haki ???
 
Tatizo lenu ni moja tu,huwa mnapenda sana kusikiliza maneno ya kuambiwa. Lau kama ungethubutu kufunua kitabu cha Quran na kusoma basi ungeijua misingi ya uislam na misimamo yake dhidi ya Uishirikina na Uchawi.

Uislam ndio dini ambayo iko mbali sana na ushirikina (kuabudu viumbe,vitu n.k pamoja na Mungu).

Quran imesema wazi kuwa mwenye kufa hali ya kuwa ni mshirikina basi huyo amepata hasara na mafikio yake ni moto mkali wa Jahannam. Mshirikina hata harufu ya pepo hatainusa licha ya kuwa harufu yake inasikika (inanusika) umbali wa safari ya miaka 40.
Majini yanayoendekezwa kwenye uislamu sio Malaika

Ukristo unaamini kuwa kuna Mungu na Malaika tu mtu akiamini kuna malaika na majini wa mwenyezi Mungu mchawi na Mshirikina huyo

Majini kwenye Ukristo ni wafuasi wa shetani na viongozi wa wachawi hatuyakubali

Malaika ndio viongozi watiifu kwa Mungu tu sio majini kama waislamu nsemavyo ohhh kuna majini mazuri .Ukristo hakuna jini zuri yote mashetani tu hatuna mpango wa kuwa na ushirika na jini iwe ibada au.popote

Majini ndio wasimamia uchawi na ulozi duniani hakuna jini zuri wala baya kwenye ukristo yote mabaya mapepo mashetani watoto wa shetani

Wakristo tunaamini kwa malaika tu kuwa ndio wako vizuri hatuamini kwenye majini

Majini yote kwa wakristo yanaitwa mapepo hakuna cha jini zuri wala baya kwenye ukristo yote mapepo y kuzimu toka kwa shetani mlaaniwa

Ukristo unaamini malaika tu sio majini mnayosali nayo hadi misikitini kuwa ohh kuna majini maxuri kila ijumaa au muda wa swala yanakuwepo na wauslamu kuswali nao

Ukristo hiyo haipo tukisali marufuku jini kuweko kanisani na tunakemea jini usikanyage tunaposali shetani wewe hatutaki uwepo wako tunaposali

Misikitini mnayaruhusu kwenye ibada zenu ila ibada za Kikristo hatutaki majini kanisani yaweko ibadani kwenye ibada zetu
Tunahitaji malaika wawepo sio majini kama nyie mnayosali nayo kila swala misikitini
 
walivyobadili dini vipi;
1. Wamekwenda mbinguni au wapo duniani bado?
2. Wameacha uongo?
3. Wameacha uizi?
4. Wameacha uzinzi?
5. Wameacha kiburi/ majivuno/ jeuri/kujisikia/dharau
6. Tabia wamebadili zimekua nzuri/wakweli/watu wa kupenda haki?
7. Wameacha kuua?..nk
Kama wamebaki na tabia zilezile haina maana kubadili dini maana haitasaidia
 
Hayo yapo ila kuna wengine especially ulaya na marekani wengi wao wanapendezwa na mfumo wa maisha wa kiislamu , kama huyu muandishi wa habari wa southafrica yeye kapenda unyenyekekevu wa waislamu kwa mola wao
Mfumo gani unaizungumzia? Hivi unaeafahamu wazungu? Huwa Wana mipango ya miaka zaidi mia 5 hutoelewa Sasa ila endeleeni kuwa recruit mseme mmepata wazungu ,miaka 500 ijayo ni wao watawabadili ninyi na sio ninyi mtawabafili
 
Back
Top Bottom