Celebrities wa Tanzania waliobadili dini na kuwa Waislam

Celebrities wa Tanzania waliobadili dini na kuwa Waislam

1. Mzize - Mchezaji wa Yanga

Ukristo kwenda uislam
View attachment 2940056

2. P Funk - Producer

Ukristo kwenda uislam
View attachment 2940057

3 Shomari Kapombe - Mchezaji wa mpira

Uislam kwenda Ukristo

View attachment 2940099

4. Barnaba - Msanii wa Muziki

Ukristo kwenda uislam
View attachment 2940058

5. Mwijaku - journalist infuencer

Ukristo kwenda uislam
View attachment 2940059

6. Young killer - Msanii wa muziki

Ukristo kwenda uislam
View attachment 2940060

7. Jeff Dennis - Twitter Influencer

Ukristo kwenda uislam
View attachment 2940071
Ontario namwona wa mwisho kwenye list
 
Wanaume waislamu swala tano mkristo anajielewa hawawezi olewa na muislamu atamwambia ainame aingeze kinyeo kule makao makuu ya Gaza

Wanawake wengi wakristo huo ushenzi hawawezi waislamu waoane wenyewe kwa wenyewe huo ushenzi wabaki nao wenyewe hiyo sunna ya mtume kinyume na maumbile
Unaweza bishana kwa hoja lakini sio kwa dhihaka na kufikia hapa.
Badili ukali wa maneno kidogo ili mjadala uwe huru zaidi.
 
Wanaume waislamu swala tano mkristo anajielewa hawawezi olewa na muislamu atamwambia ainame aingeze kinyeo kule makao makuu ya Gaza

Wanawake wengi wakristo huo ushenzi hawawezi waislamu waoane wenyewe kwa wenyewe huo ushenzi wabaki nao wenyewe hiyo sunna ya mtume kinyume na maumbile
Unamaanisha nyinyi mnafirana wanaume kwa wanaume kama hivi

1710984485817.png

1710984540020.png
 
Tatizo lenu ni moja tu,huwa mnapenda sana kusikiliza maneno ya kuambiwa. Lau kama ungethubutu kufunua kitabu cha Quran na kusoma basi ungeijua misingi ya uislam na misimamo yake dhidi ya Uishirikina na Uchawi.

Uislam ndio dini ambayo iko mbali sana na ushirikina (kuabudu viumbe,vitu n.k pamoja na Mungu).

Quran imesema wazi kuwa mwenye kufa hali ya kuwa ni mshirikina basi huyo amepata hasara na mafikio yake ni moto mkali wa Jahannam. Mshirikina hata harufu ya pepo hatainusa licha ya kuwa harufu yake inasikika (inanusika) umbali wa safari ya miaka 40.
Nonsense,ni mtume ndio aliupima huo umbali?
 
Mkuu bila majini.....hakuna uislamu........ Ni kama ukatoliki na dead soul!!!
Ukiwa mchawi utaelewa dini ipi ni sahii na dini ipi ni magumashi...!!!
 
Uislam ni dini nzuri sana kwa wanaume kuliko ukristu. Kwa upande mwingine uislam ni dini ngumu sana kwa wanawake

Kwa hiyo,mwanaume aliyebadili dini kwenda uislam naona kachagua dini nzuri na yenye kumpa furaha zaidi kwa sababu uislam umempa madaraka makubwa mwanaume

Mwanamke anayetoka uislam kwenda ukristu naye naona atakua amefanya maamuzi mazuri kwa sababu ukristu haikandamizi haki za wanawake kama uislam

(Wakuu,kwa imani yangu binafsi Mimi naheshimu dini zote kwa usawa including dini za mababu zetu. Dini kwangu naiambatanisha zaidi na aspect ya utamaduni wa watu fulani na sio njia ya kwenda mbinguni kama wengi mnavyoamini)

Ova!
 
Kwa Joel Lwaga ni Yesu mkuu kiasi kwamba ukiimba nae basi wewe ni mkristo na Mtumishi wa Mungu? (Jokes), hawa jamaa ni wasanii wa nyimbo za Injili hivyo wanaimba na yoyote kikubwa litajwe jina la Mungu / Yesu mambo sijui ya upako hakuna tutajijua wasikilizaji
jane miso aliufanyia wimbo wake remix kwa kumshirikisha mwanamuziki wa kidunia harmonize, wimbo unaitwa omoyo. Ule wimbo haukupokelewa vema na jamii ya wakristo kiasi cha kumjia juu jane kwa kuimba na mwimbaji wa duniani asiyemjua yesu. Cha ajabu hata watu wa duniani hawakuupokea vema wimbo huo ukawa hauna upande ulikopendwa. Iko hivi, mwimbaji wa injili kushirikisha mwimbaji wa kidunia haileti maana nzuri na wimbo huo hautakuwa na upako wa mungu. Pia mwimbaji wa kidunia kuimba gospel wimbo hautapokelewa vema na jamii husika, utaonekana unafanya mzaha tu kwenye mambo ya dini na imani
 
Upo sahihi ndo maana nilisema hawa jamaa wa gospel nilitumia neno "wasanii wa nyimbo za Injili" wenyewe wanajali litajwe jina la Mungu / Yesu mengine wanatuachia sisi kikubwa kauza (ndicho nilichomaanisha kama ulivyoandika wewe yaani wanajali biashara zaidi kuliko upako)
 
Majini yanayoendekezwa kwenye uislamu sio Malaika

Ukristo unaamini kuwa kuna Mungu na Malaika tu mtu akiamini kuna malaika na majini wa mwenyezi Mungu mchawi na Mshirikina huyo

Majini kwenye Ukristo ni wafuasi wa shetani na viongozi wa wachawi hatuyakubali

Malaika ndio viongozi watiifu kwa Mungu tu sio majini kama waislamu nsemavyo ohhh kuna majini mazuri .Ukristo hakuna jini zuri yote mashetani tu hatuna mpango wa kuwa na ushirika na jini iwe ibada au.popote

Majini ndio wasimamia uchawi na ulozi duniani hakuna jini zuri wala baya kwenye ukristo yote mabaya mapepo mashetani watoto wa shetani

Wakristo tunaamini kwa malaika tu kuwa ndio wako vizuri hatuamini kwenye majini

Majini yote kwa wakristo yanaitwa mapepo hakuna cha jini zuri wala baya kwenye ukristo yote mapepo y kuzimu toka kwa shetani mlaaniwa

Ukristo unaamini malaika tu sio majini mnayosali nayo hadi misikitini kuwa ohh kuna majini maxuri kila ijumaa au muda wa swala yanakuwepo na wauslamu kuswali nao

Ukristo hiyo haipo tukisali marufuku jini kuweko kanisani na tunakemea jini usikanyage tunaposali shetani wewe hatutaki uwepo wako tunaposali

Misikitini mnayaruhusu kwenye ibada zenu ila ibada za Kikristo hatutaki majini kanisani yaweko ibadani kwenye ibada zetu
Tunahitaji malaika wawepo sio majini kama nyie mnayosali nayo kila swala misikitini
Nyie si ndo mnasema shetani alikuwa malaika ikawaje sasa akaasi?
 
Back
Top Bottom