Celebrities wa Tanzania waliobadili dini na kuwa Waislam

Celebrities wa Tanzania waliobadili dini na kuwa Waislam

Upo sahihi ndo maana nilisema hawa jamaa wa gospel nilitumia neno "wasanii wa nyimbo za Injili" wenyewe wanajali litajwe jina la Mungu / Yesu mengine wanatuachia sisi kikubwa kauza (ndicho nilichomaanisha kama ulivyoandika wewe yaani wanajali biashara zaidi kuliko upako)
madhara ya kuimbia nyimbo zisizo na upako wa Mungu ili mradi tu msanii auze huangukia pua, nyimbo/albam itadoda haitauzika sana na mwisho msanii huyo huanguka anguko baya la kashfa ya ngono/kuharibu ndoa yake na hakuna atakayependa nyimbo zake tena. Wapo tunawaona walivyoanguka
 
Ninawajua wanawake wakristo waliowahi olewa na waislamu wakidhani wanaume wa kiislamu wenye hela wanajali sana wake wakiwa hawajui vizuri walipogundua kuwa matapeli wakawaacha hao wanaume hao wanaume wakawatupia majini wakaondka na majini
Kumbuka dini ya haki ya majini (mapepo) ni uislam, na majini yana surah nzima yanaongea Yao ndani ya Koran
 
jane miso aliufanyia wimbo wake remix kwa kumshirikisha mwanamuziki wa kidunia harmonize, wimbo unaitwa omoyo. Ule wimbo haukupokelewa vema na jamii ya wakristo kiasi cha kumjia juu jane kwa kuimba na mwimbaji wa duniani asiyemjua yesu. Cha ajabu hata watu wa duniani hawakuupokea vema wimbo huo ukawa hauna upande ulikopendwa. Iko hivi, mwimbaji wa injili kushirikisha mwimbaji wa kidunia haileti maana nzuri na wimbo huo hautakuwa na upako wa mungu. Pia mwimbaji wa kidunia kuimba gospel wimbo hautapokelewa vema na jamii husika, utaonekana unafanya mzaha tu kwenye mambo ya dini na imani
Huu ujinga ndio kunaleta maana?

 
Ni Uongo. Hawafanani kamwe.
Kabisa
Kama yule tapeli aliyejiita yesu hafanani na wala si mwenyewe tunaomwita Isa
Yule tapeli yesu alidanganya alikufa akafufuka ameacha utitiri wa manabii matapeli kila penbe ya dunia, na sasa wamefika kwetu kina mwamposa, na Isa tunaomjua sisi sio huyu tapeli yesu.
 
1. Mzize - Mchezaji wa Yanga
Ukristo kwenda uislam
View attachment 2940056

2. P Funk - Producer
Ukristo kwenda uislam
View attachment 2940057

3 Shomari Kapombe - Mchezaji wa mpira
Uislam kwenda Ukristo
View attachment 2940099

4. Barnaba - Msanii wa Muziki
Ukristo kwenda uislam
View attachment 2940058

5. Mwijaku - journalist infuencer
Ukristo kwenda uislam
View attachment 2940059

6. Young killer - Msanii wa muziki
Ukristo kwenda uislam
View attachment 2940060

7. Jeff Dennis - Twitter Influencer
Ukristo kwenda uislam
View attachment 2940071
Baada ya kumwona mwijaku naona wengi wamefata hela kwenye uislam
 
Kabisa
Kama yule tapeli aliyejiita yesu hafanani na wala si mwenyewe tunaomwita Isa
Yule tapeli yesu alidanganya alikufa akafufuka ameacha utitiri wa manabii matapeli kila penbe ya dunia, na sasa wamefika kwetu kina mwamposa, na Isa tunaomjua sisi sio huyu tapeli yesu.
Isa ni nani? Isa na Yesu ni tofauti sana. Yesu ni Masiya. Isa sijui ni nani. Nadhani alichomekewa tu kwenye issue za Mudy na Quran. Muddy unajua alikuwa mwizi, malaya, ben 10,anakula wanaume wenzie, anavaa nguo za wake zake n.k.

Nianze kuweka vifungu? Maana hapa ndo nlikuwa napataka.
 
We unawaona hao watu wana Mungu ndani yao? Hata yule Allah tu basi..., Wanae?
 
Pfunk alibatizwa kwa jina la Paul, baba yake alikuwa mkrsto,

mama yake (Aunt Sheilah) inasemekana alikuwa muislam ila aliolewa kikristo.

P Funk alisilimu na kupewa jina la Khalfani ukubwani

hata kuoa ANAOA kiislam

🤣🤣🤣🤣
swala la kujirudiarudia au swala endelevu la mara kwa mara kama kuoga.
 
Back
Top Bottom