Celebrities wa Tanzania waliobadili dini na kuwa Waislam

Celebrities wa Tanzania waliobadili dini na kuwa Waislam

Hapa sasa ndo waislamu wanafurahi,,ila ingekuwa kinyume chake ungeona nyukilia zinarushwa hapa.
 
Mtu kaakaa kabisa kaanza kufuatilia huyu dini gani na alikuwa dini ipi kabla. Akaja hapa akaanza kuandika😄.
Hebu tutafute hela Ndugu wananji
😀😀😀, Umeongea point, Ukiwa na hela mambo kama haya huwezi kufuatilia kabisa, mleta thread hana tofaut na wale wanaokaa vibarazani kupiga soga.
 
1. Mzize - Mchezaji wa Yanga
Ukristo kwenda uislam
View attachment 2940056

2. P Funk - Producer
Ukristo kwenda uislam
View attachment 2940057

3 Shomari Kapombe - Mchezaji wa mpira
Uislam kwenda Ukristo
View attachment 2940099

4. Barnaba - Msanii wa Muziki
Ukristo kwenda uislam
View attachment 2940058

5. Mwijaku - journalist infuencer
Ukristo kwenda uislam
View attachment 2940059

6. Young killer - Msanii wa muziki
Ukristo kwenda uislam
View attachment 2940060

7. Jeff Dennis - Twitter Influencer
Ukristo kwenda uislam
View attachment 2940071
Wengi wao hapo sababu ni kuoa au kuolewa, KATAA NDOA NJOONI MSEME NENO WALAHI!!
 
Na hapo wengi ukifuatilia sababu ya kubadili ni kei 🤦‍♀️
Na deal za pesa, waislam hawakupi deal kama wewe ni mkristo, mfano stand za mabasi, zaman wamiliki wengi wa mabasi walikuwa waislam ,basi vijana wengi walilazimika kubadili dini ili wapate Ile kuuza tiketi tu, na wengine wakawa Wana majina mawili, stand ni Hussein mtaani ni sanctus na kanisan anaenda, Akina GSM,Mo ,bakhalesa Wana nguvu sana kwenye imani za ndugu zetu masikini,
 
mimi ni mkristo safi ila wiki hii naenda kusilimu niwe muislimu ibada ya kuchanganyika na wanawake ibada ya kwaya imenichosha hata mungu kachoka
Hahahaha kwanini unadanganya kuwa wewe ni mkristo wakati kuna siku kibao tushabishana kuhusu dini?halafu masjid haram mbona wanaswali huku wamechanganyika wanaume na wanawake?
 
Hata Mwijaku hawajawahi kuwa mkristu. Hilo jina Burton Mwemba huenda alinunua kwa ajili ya shule kwamba alifeli primary then akanunua jina ili asome seco.

Shomary Kapombe hajabadilisha dini ila baba ake muislamu mamake mkristu na yeye ni mtoto wa mama.

However P.Funky alifunga ndoa ya kiislamu.


Wengine walio badili dini no pamoja na Julius Mtatiro.

Hillary David (.zembwela na yeye nahisi kasilimu)

Marehemu Maunda Zorro na yeye alitoka.kwenye ukristu kwenda kwenye uislamu.


N.b: kubadili dini ni upuuzi to kwa sababu haikubadilishii chochote zaidi ya kutoa dhambi zako kwenye dini yako na kuzihamishia kwenye dini nyingine
Kama maunda alikuwa muislamu mbona alizikwa kikristo?
 
Majini yanayoendekezwa kwenye uislamu sio Malaika

Ukristo unaamini kuwa kuna Mungu na Malaika tu mtu akiamini kuna malaika na majini wa mwenyezi Mungu mchawi na Mshirikina huyo

Majini kwenye Ukristo ni wafuasi wa shetani na viongozi wa wachawi hatuyakubali

Malaika ndio viongozi watiifu kwa Mungu tu sio majini kama waislamu nsemavyo ohhh kuna majini mazuri .Ukristo hakuna jini zuri yote mashetani tu hatuna mpango wa kuwa na ushirika na jini iwe ibada au.popote

Majini ndio wasimamia uchawi na ulozi duniani hakuna jini zuri wala baya kwenye ukristo yote mabaya mapepo mashetani watoto wa shetani

Wakristo tunaamini kwa malaika tu kuwa ndio wako vizuri hatuamini kwenye majini

Majini yote kwa wakristo yanaitwa mapepo hakuna cha jini zuri wala baya kwenye ukristo yote mapepo y kuzimu toka kwa shetani mlaaniwa

Ukristo unaamini malaika tu sio majini mnayosali nayo hadi misikitini kuwa ohh kuna majini maxuri kila ijumaa au muda wa swala yanakuwepo na wauslamu kuswali nao

Ukristo hiyo haipo tukisali marufuku jini kuweko kanisani na tunakemea jini usikanyage tunaposali shetani wewe hatutaki uwepo wako tunaposali

Misikitini mnayaruhusu kwenye ibada zenu ila ibada za Kikristo hatutaki majini kanisani yaweko ibadani kwenye ibada zetu
Tunahitaji malaika wawepo sio majini kama nyie mnayosali nayo kila swala misikitini
Sikulaumu kutokana na ufinyu wako wa elimu. Ungejua kwanza maana ya majini basi tungeweza kuzungumza kidogo .
 
1. Mzize - Mchezaji wa Yanga
Ukristo kwenda uislam
View attachment 2940056

2. P Funk - Producer
Ukristo kwenda uislam
View attachment 2940057

3 Shomari Kapombe - Mchezaji wa mpira
Uislam kwenda Ukristo
View attachment 2940099

4. Barnaba - Msanii wa Muziki
Ukristo kwenda uislam
View attachment 2940058

5. Mwijaku - journalist infuencer
Ukristo kwenda uislam
View attachment 2940059

6. Young killer - Msanii wa muziki
Ukristo kwenda uislam
View attachment 2940060

7. Jeff Dennis - Twitter Influencer
Ukristo kwenda uislam
View attachment 2940071
Umemsahau bosi wao Joseph Kusaga.
 
1. Mzize - Mchezaji wa Yanga
Ukristo kwenda uislam
View attachment 2940056

2. P Funk - Producer
Ukristo kwenda uislam
View attachment 2940057

3 Shomari Kapombe - Mchezaji wa mpira
Uislam kwenda Ukristo
View attachment 2940099

4. Barnaba - Msanii wa Muziki
Ukristo kwenda uislam
View attachment 2940058

5. Mwijaku - journalist infuencer
Ukristo kwenda uislam
View attachment 2940059

6. Young killer - Msanii wa muziki
Ukristo kwenda uislam
View attachment 2940060

7. Jeff Dennis - Twitter Influencer
Ukristo kwenda uislam
View attachment 2940071
Ni uzinzi tu umechangia
 
Back
Top Bottom