Savimbi Jr
JF-Expert Member
- Sep 23, 2011
- 6,818
- 9,183
Kwani kina 2face Idibia wanapata wapi fedha? Ametoa 10mili Naira,mbona Nigeria piracy ni kubwa kuliko bongo na wanaija wana mipunga tu? Wasanii wa bongo Showoff kibao insta kupanga mighorofa ya 1m per month kwa ajili ya show off tu,kukodi magari makali ya kutembelea kwa ajili ya showoff hela zao zote zinaishia kwenye showoff tu......."MAX50 na SANTAIZA 20" kwani Tsh ngapi?Kazi zao mnazipata kimagendo halafu mnategemea wawe na hela. Hela wanazitoa wapi ?
My life is mine to remember
Wewe umetoa sh ngapi kuwasaidia ndugu zako kijjini ?Kwani kina 2face Idibia wanapata wapi fedha? Ametoa 10mili Naira,mbona Nigeria piracy ni kubwa kuliko bongo na wanaija wana mipunga tu? Wasanii wa bongo Showoff kibao insta kupanga mighorofa ya 1m per month kwa ajili ya show off tu,kukodi magari makali ya kutembelea kwa ajili ya showoff hela zao zote zinaishia kwenye showoff tu......."MAX50 na SANTAIZA 20" kwani Tsh ngapi?
Anzisha uzi unaohusu watu kuchangia vijijini nitatoa maoni,huu uzi ni kwa ajili ya selebuliti na mimi sio selubuliti.Wewe umetoa sh ngapi kuwasaidia ndugu zako kijjini ?
My life is mine to remember
kuna mtu huko fb ameona habari ya Rostam kusaidia akaanza kumponda diamond,alidhani rostam ni kina roma na stamina[emoji1787]
Hununui albums, hauangalii Bongo Movie, piracy ndio jadi yako..., unadhani hao celebrities watapata wapi pesa zaidi ya umaarufu ?, nadhani kutoa kazi zao tu na wewe kuzisikiliza ukiwa umejifungia ndani (social distance) ni mchango tosha..
Kazi zao mnazipata kimagendo halafu mnategemea wawe na hela. Hela wanazitoa wapi ?
My life is mine to remember
There you go... umejibu swali kwanini hawa wadau wapo kimya kwenye kuchangia janga (wanaweza kuchangia kwa hali sio kwa mali)Mi kununua kazi ya msanii wa bongo siwezi,ni upuuzi tu,hela yangu ina thamani si kununua upuuzi
♡♤Life belongs to all who struggle for it♤♡♧
Unakwepa uwajibikajiAnzisha uzi unaohusu watu kuchangia vijijini nitatoa maoni,huu uzi ni kwa ajili ya selebuliti na mimi sio selubuliti.
V Money unamuacha wapi ?Hapo ni ardhi na bingu,wasanii wa bongo mbali na Mondi ,kiba ,dimpoz,AY,sugu ,Prof J kondeboy sidhani kama kuna mtu account inasoma zaidi ya mill 100
♡♤Life belongs to all who struggle for it♤♡♧
You have to adjustMi kununua kazi ya msanii wa bongo siwezi,ni upuuzi tu,hela yangu ina thamani si kununua upuuzi
♡♤Life belongs to all who struggle for it♤♡♧