Wao walitakiwa waonyeshe mfano na kuamsha ushawishi kwa mastaa wengiMkuu zoezi halijaisha na muda bado upo.. Watajitolea tuu
Kama nani staaUnawaonea...kuna ambao wana uwezo 10× zaidi yao wamechili tu
Ghafla nimemkumbuka Mzee Mengi!Je, MO Dewj? Kuna watu wanachoyo sana jaman
Sio lazma mastaa