Celebrities wa Tanzania wanasaidiaje jamii kipindi hiki cha janga la Corona?

Hao ni walalahoi bado wapo kwenye ngazi ya utafutaji mfano wote uliowataja wanazidiwa uchumi na masanja mkandamizaji
 
Mo kashatoa ngap mpaka sasa? Na anatengeneza kila kitu sanitizer na sabuni lakini hajatoa

Sent using Jamii Forums mobile app

Kila changamoto ni fursa ya kutengeneza kipato zaidi kwa matajiri wanaojua kuziona fursa nampongeza ila kwa upande wa kutoa sijui kila mtu anaguswa kwa namna ya pekee. Ivi ni lazima mtu akitoa msaada atangazwe/atangaze???
 
Kibosho1,

Waswahili walisema, cha mtu mavi.

Pia, walisema, kutoa ni moyo, usambe utajiri.

Usilazimishe mtu kusaidia kama hajajisikia mwenyewe.

Sent from my typewriter using Tapatalk
 
Kibosho1
sometime kuna vitu vinaumiza sana,yani unalipa kodi kubwa halaf bado utoe msaada kwa serikali kunenepesha wowowo za watu?
 
Tuanze na wewe,

Wewe umeshatoa mchango gani/ uneshatengeneza mfuko ukauitaje?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
MTU CHAKE.

"baba unahonga hawara elfu kumi,
watoto wanakufa na njaa nyumbani"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…