Celebrity Lawyer Albert Msando: Utajiri wa ghafla wamchanganya, afanya kufuru

Celebrity Lawyer Albert Msando: Utajiri wa ghafla wamchanganya, afanya kufuru

Status
Not open for further replies.
Hivi vigari vinavyo depreciate value with each passing year mtu aliyesoma na kuelewa asset ni nini na liability ni nini hawezi kuvisema kama jambo la msingi.

Labda kama kakulia kwenye shida na habari za Range Rover ni za ajabu.

Usikute kati ya Wabongo 100 ni mmoja tu ajuaye hilo.

Na baadhi ya hayo magari resale value yake ni ndogo sana.
 
You got jokes.

Tanzanians hyperventilate over non issues.

Tell me he has a crib up in Malibu like a Nguema, then you will have my attention.

Hivi vigari vinavyo depreciate value with each passing year mtu aliyesoma na kuelewa asset ni nini na liability ni nini hawezi kuvisema kama jambo la msingi.

Labda kama kakulia kwenye shida na habari za Range Rover ni za ajabu.

Halafu huko mliko Si kuna Uhuru sana wa kuchagua?

sasa Alberto kachagua hayo mabenz na marange kuu kuu (per ngabu),kwanini usiheshimu tu machaguo yake !!

NB.Nijibu kwa kiswahili!!
 
Halafu huko mliko Si kuna Uhuru sana wa kuchagua?

sasa Alberto kachagua hayo mabenz na marange kuu kuu (per ngabu),kwanini usiheshimu tu machaguo yake !!

NB.Nijibu kwa kiswahili!!

Kama mtu kweli unataka ku floss huwezi piga picha ya benzi ya macho ya paka.

Like, seriously?

Halafu hizo ni gari za kawaida sana.
 
Mie naenjoy life yangu baba. Siwezi kuwa inspired na mtu hana hata apartments za maana. Kuna mchaga mmoja ananiinspaya balaa manake ana nyumba kama 7 za kupanga zenye akili. Ana ghorofa moja pia ina apartments 6.

One nice toy or two zinanitosha kwa mobility tu.

labda anazo!! Wewe kuwa inspayadi tu!!

mwenyewe hapa Chenge ,Ruge na Seth wananiinspaya kinoma!!

madili yao yanaanzia sifuri 8 hivi!!

chenge is mai rolu modo
 
Umeanza kunilazimishia inspirations sasa. Mie niko inspatadi na mama rwakatare ujue. Niwache
labda anazo!! Wewe kuwa inspayadi tu!!

mwenyewe hapa Chenge ,Ruge na Seth wananiinspaya kinoma!!

madili yao yanaanzia sifuri 8 hivi!!

chenge is mai rolu modo
 
aisee!! kumbe range takataka?

huku Namtumbo ukiwa nayo hiyo polisi wanaweza kukusindikiza uendako?

ila Mkuu Tuache masikhara!! yaani hiyo ndinga ni takataka huku bongo au hadi huko kwenu Mbele?

Nilitaka kuinunua hiyo, backin 2013.Nilivyoona habari za kunichanganyia wahindi wa TATA na injini za Ford explorer nikaona hata kumnunulia mchumba zawadi itakuwa kashfa.

cc Nyani Ngabu
 
Hehehe i can turn my mourning into a hearty laugh.

Huyo wanaemuongelea anaweza akapost kitanda anacholalia. Sijui ana udugu na mayweather? If you are able to laugh at everything including yourself, maisha yanakuwa matamu haswaa.

Happy holidays rafiki

Sasa kama huyu anataka kupost kitanda anacholalia, rafiki yangu Prince Ntouh wa wa Ashanti huko Ghana ambao kwao wana kitanda cha solid gold apost nini?
 
Halafu wewe...
Yeye anamiliki sijui vidude gani hivyo vya chini mie nina private jet range 3.
At the age of 27.
Sasa hatuwezi kuonana yeye anatembea chini mimi juu..
Sema hivyo videm vyake ninavyowapa lift ndo wananiambia.

kuna mtu alinambia ukichati na demu ,inawezekana ukachati na mashosti zake via screenshot!!

yaani full kuuzishana mafaili ndo maana mikuyati INA soko sana hapa Tanganyika!!
 
  • Thanks
Reactions: amu
Halafu huko mliko Si kuna Uhuru sana wa kuchagua?

sasa Alberto kachagua hayo mabenz na marange kuu kuu (per ngabu),kwanini usiheshimu tu machaguo yake !!

NB.Nijibu kwa kiswahili!!

The folly of this flirtatious flossing is flatfooted by the fraudulent facade of freewheeling fortune on a finagled fame.
 
msando simkubali kihivyo ila baada ya kupitia huu uzi nimegundua kawakomesha wengi hadi humu ndani...watu wamepanic!

Hebu acheni masikhara bana.

Kamkomesha nani na kivipi?

Yaani mtu kupiga picha za magari ndo watu wakomesheke?

Kama hizo gari si zake je?

I mean, hata mimi hapa sasa hivi naweza kwenda ku test drive 2015 Bentley Flying Spur V8 na kupiga nayo picha nikaiweka kwenye social media.

Sasa kweli hapo nitakuwa nimemkomesha nani? Childish mindset.
 
  • Thanks
Reactions: Mit
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom