Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni nzuri sana hasa hiyo rhino na lucky inatengenezwa pakistan pia arabuni hapa dubai ghorofa nyingi sana ikiwemo burj kharifa (ghorofa refu kuliko yote duniani)limetengenezwa na hiyo lucky..ni nzuri sana ata mimi nimeshaitumia....hapa dubai inauzwa tsh 3500 kwa mfuko mmoja..nunua ni nzuri

Rhino cement haitengenezwi Pakistan wala Uarabuni ni bidhaa ya Athi river Mining wana kiwanda sasa huko MkurangaNi nzuri sana hasa hiyo rhino na lucky inatengenezwa pakistan pia arabuni hapa dubai ghorofa nyingi sana ikiwemo burj kharifa (ghorofa refu kuliko yote duniani)limetengenezwa na hiyo lucky..ni nzuri sana ata mimi nimeshaitumia....hapa dubai inauzwa tsh 3500 kwa mfuko mmoja..nunua ni nzuri
Habari wadau,
Kuna cement za aina ya rhino na lucky naziona sokoni zikiuzwa kwa 14,000/= na 14,500/= respectively.Je ni nzuri kwa kutumia kutengeneza matofali? Nipeni info kuhusu quality za cement hizo.
Kilimanjaro Cement ni nzuri zaidi, inatoka kiwanda cha cement kigamboni(geza ulole)Habari wadau, Kuna cement za aina ya rhino na lucky naziona sokoni zikiuzwa kwa 14,000/= na 14,500/= respectively.Je ni nzuri kwa kutumia kutengeneza matofali? Nipeni info kuhusu quality za cement hizo.
(1) Zingatia Post Na 10 ya Swash Bizo.
(2) kwa kawaida usipende kununua cementi zinazotoka nje ya nchi, bali zilizotengenezwa Tanzania. Hii si kwa sababu ya kusaidia uchumi wetu tu, bali hasa kwa sababu sementi za nje hutumia muda mrefu safarini hadi zifike hapa na kuuzwa. Sementi ina shelf life isiyo kubwa na hutakiwa kutumika si muda mrefu baada ya kutengenezwa. Bora zaidi itumike si zaidi ya miezi 2 - 4 kufuatana na namna inavyohifadhiwa.
Rhino ya Athi River Mining na Qatar hawana uhusiano!Qatar wanakiwanda kiitwacho al jabal lar cement factory..ambacho kwa miaka mingi wamekuwa wakitengeneza cement ya jina la rhino..navyosikia sasa wana collaboration katika nchi nne za afrika Tz..Kenya..Rwanda..S africa..hizi nchi zote zina zalisha cement hiyo RHINO ..nadhani watakuwa na ubora unaofanana..thanks
umeuliza swali zuri sana...mimi ni civil engineer na ninajua ubora wa cement mbalimbali...........ukweli ni kwamba watu wengi sana wanauziwa cement zenye ubora mdogo pasipo wao kujua..................kuna cement za barabarani ambazo huwa zinamwaga ili kufanya soil stabilization ambazo mara nyingi ubora wake ni mdogo ambao ni 30.2N hadi 32.5N kwa kiwango cha kiutalaam na watu wamekuwa wakiuziwa hizi cement na kujengea nyumba pasipo wao wenyewe kujua.Cement ambazo unatakiwa ujengee nyumba inatakiwa iwe 40N au 42N.Mimi katika mtaa ninapoishi watu wengi wanachakachuliwa cement pasipo wao kujua.Unakuta mtu anauza cement ambazo amezichanga na zile za barabarani ili apate faida kubwa.ukweli ni kwamba cement za barabarani bei yake ni ndogo kwa hiyo akizichanganya anapata faida kubwa.
NB:JITAHIDI UKIENDA NUNUA CEMENT SOMA MFUKO HADI UONE 40N AU 42N UBORA WA CEMENT.MAFUNDI WENGI HAWAJUI KIINGEREZA NDIO MAANA HAWAWEZI KUJUA LAKINI WANAWEZA ANGALIA HIYO NUMBER 40N AU 42N.