CEO Barbra kakiwasha South Africa Rise FM, Show ya Robert Marawa apangua fitina zote

simba ina wazee angalia umri wa kila mchezaji hapo

 
Mr utopolo nani asiyejua suala la hotel siku hizi siyo la mwenyeji simba walitoa ushauri sababu wasi stuck kwenye traffic, habari zako za south africa usinitolee mifano sijawahi kufika huko na wala sitamani

Simba ilitoa ushauri wakaukataa na basi la simba plus mini van walikataa , sasa siku wanenda mazoezini waka stuck kwenye traffic jam kwanini wlaiiilamikia simba yaani utoke Ramda kote huko unatarajia nini?
 
Hili ndio jibu la swali nililouliza?
Uzuri ni kuwa nimequote reply ya kiswahili hapakuwa na kiingereza kwamba sijaelewa kilichoandikwa.
Unadhani ni wewe peke yako unayejua English? unajiona special sana kwenye uzi wangu nimesema kuna waliokubalina naye,wale wa kaizer chiefs na pirates na wako waliompinga mbona iko wazi hiyo
 
Ramada kuna umbali gani?
 
Soma baadhi ya comments kama unaelewa Kiingereza. Kuna moja inasema Yanga ni timu bora kwa Tanzania na Simba ni overrated.Kuna nyingine inamponda kwa kuzungumzia mambo ya Orlando Pirates, wakijiuliza ni lini kawa msemaji wao.
Na kocha wao lini amewahi kua msemaji wa Simba sc
 
Namuona hapa soccer africa.....naona kocha kamwambia apeleke meseji kuwa simba ni underdog
 
Unadhani ni wewe peke yako unayejua English? unajiona special sana kwenye uzi wangu nimesema kuna waliokubalina naye,wale wa kaizer chiefs na pirates na wako waliompinga mbona iko wazi hiyo
Umeniquote vibaya mkuu sio mimi....
Nami pia nimekuwa muhanga wa kuambiwa sijui ngeli.
 
Nimepita twitter kule sasa comments nyingi zinasifia uzuri wa CEO siyo hata point ya msingi tena ya hiyo interview , jamani wanamuuliza Marawa hajachukua namba na huyo jamaa ni malaya kwelikweli sema hapo South africa huwa anagonga wale wakali wakali tu kama Pearl Thusi
 
ukisikia mind game ndio hii. well done barbara
Ukiingia kwenye twitter handle ya Robert Marawa jamaa wanalalamika kwa nini kampa nafasi ya kupangua malalamiko yale....kaharibu kabisa yale madai wamebaki kumsifi auzuri sasa na english yake
 
[emoji28][emoji22]Marawa sio kabisa yule anaweza kumla kimaskhara C.E.O.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…