Mzee Wa Kazi Chafu
JF-Expert Member
- Jan 24, 2022
- 2,245
- 4,966
Hakuna Watu Wanafki Kama Mashabiki Wa Simba SC.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sijui ilikuwaje akaicha ile pisi pearl thusi[emoji28][emoji22]Marawa sio kabisa yule anaweza kumla kimaskhara C.E.O.
Simba SC tu ndiko kuna Wasomi wengi.safi sana C.E.O wa Simba ni mtu aisee.
Kwa hiyo umeshindwa kuelewa kuwa robert marawa kawa tagged to kwenye hiyo comment sio aliyeiandika?Kuhusu Kiingereza naachana na hii hoja kwani hata ulipojaribu kukiandika hata punctuation zimegoma.
Tukiwaambieni muwe mnatumia akili huwa mnaona tunawanyanyasa. Kwenye uzi wako ulimsifu Robert Marawa kama mtangazaji nguli wa soka, sasa ndie anasema Yanga ni bora kwa Tanzania. Hicho ki comment cha chini ni non entity mmoja hivi. Hoja yako ungeweza kuieleza vizuri bila kutumia mhusika mkubwa ambaye kaipiga chini Simba.
Achana na uyo kilaza uwa ajitambui ata anachokiandika, Ni wale mashabiki wanaotumia tumbo kufikili badala ya kichwaKuhusu Kiingereza naachana na hii hoja kwani hata ulipojaribu kukiandika hata punctuation zimegoma.
Tukiwaambieni muwe mnatumia akili huwa mnaona tunawanyanyasa. Kwenye uzi wako ulimsifu Robert Marawa kama mtangazaji nguli wa soka, sasa ndie anasema Yanga ni bora kwa Tanzania. Hicho ki comment cha chini ni non entity mmoja hivi. Hoja yako ungeweza kuieleza vizuri bila kutumia mhusika mkubwa ambaye kaipiga chini Simba.
Sasa kama waliwapokea na kuwaambia wapitie mlango wa waandishi unategemea waisemeje Utopolo ili waonekane wanalipa fadhila.Soma baadhi ya comments kama unaelewa Kiingereza. Kuna moja inasema Yanga ni timu bora kwa Tanzania na Simba ni overrated.Kuna nyingine inamponda kwa kuzungumzia mambo ya Orlando Pirates, wakijiuliza ni lini kawa msemaji wao.
Mnajua kutumia twitter? Marawa ndo kasema utopolo is the best?Achana na uyo kilaza uwa ajitambui ata anachokiandika, Ni wale mashabiki wanaotumia tumbo kufikili badala ya kichwa
Unajua kutumia twitter? Marawa ndo kasema utipolo ni bora hujui kianzisha tweet mtu akijibu automatically unakuwa tagged? Ficha ujinga wako kwa kukaa kimyaKuhusu Kiingereza naachana na hii hoja kwani hata ulipojaribu kukiandika hata punctuation zimegoma.
Tukiwaambieni muwe mnatumia akili huwa mnaona tunawanyanyasa. Kwenye uzi wako ulimsifu Robert Marawa kama mtangazaji nguli wa soka, sasa ndie anasema Yanga ni bora kwa Tanzania.
Hicho ki comment cha chini ni non entity mmoja hivi. Hoja yako ungeweza kuieleza vizuri bila kutumia mhusika mkubwa ambaye kaipiga chini Simba.
wakakuta basi kubwa la kuwapokea na mini van kwa ajili ya viongozi wakayakataa wakatumia basi lao wanapojua walipolitoa....na kwenye mapokezi hayo hamis kisiwa alikuwepo pamoja na balozi msaidizi wa south africa, wakawasindikiza hadi huko kunduchi Ramada hotel ingawa walishauriwa wachukue hotel ya katikati y amji iwe karibu kufika uwanjaniHe!. Kumbe walipokelewa vizuri tu pale Airport na wale wanaopokeaga wageni na zawadi ya fuko la Korosho walipewa!.
SIJUI WATATUBEBA VIPI?😅😅😅😅😅😅kwa haya makeke halafu ndio tutinge nusu. sijui tutapatanaje humu JF. Nchi nzima itasimama wiki nzima
Siku hiyo nisipokuwa makini naweza kuanza kunywa pombe 🤣🤣SIJUI WATATUBEBA VIPI?😅😅😅😅😅😅