CEO Barbra kakiwasha South Africa Rise FM, Show ya Robert Marawa apangua fitina zote

Kwa hiyo umeshindwa kuelewa kuwa robert marawa kawa tagged to kwenye hiyo comment sio aliyeiandika?
 
Achana na uyo kilaza uwa ajitambui ata anachokiandika, Ni wale mashabiki wanaotumia tumbo kufikili badala ya kichwa
 
Soma baadhi ya comments kama unaelewa Kiingereza. Kuna moja inasema Yanga ni timu bora kwa Tanzania na Simba ni overrated.Kuna nyingine inamponda kwa kuzungumzia mambo ya Orlando Pirates, wakijiuliza ni lini kawa msemaji wao.
Sasa kama waliwapokea na kuwaambia wapitie mlango wa waandishi unategemea waisemeje Utopolo ili waonekane wanalipa fadhila.

BTW inategemea ukubwa wa Yanga ameupimaje kwani kila mtu ana tafsiri yake ya ukubwa kulingana na ufinyu au ukubwa wa akili yake.
 
Unajua kutumia twitter? Marawa ndo kasema utipolo ni bora hujui kianzisha tweet mtu akijibu automatically unakuwa tagged? Ficha ujinga wako kwa kukaa kimya
 
He!. Kumbe walipokelewa vizuri tu pale Airport na wale wanaopokeaga wageni na zawadi ya fuko la Korosho walipewa!.
 
He!. Kumbe walipokelewa vizuri tu pale Airport na wale wanaopokeaga wageni na zawadi ya fuko la Korosho walipewa!.
wakakuta basi kubwa la kuwapokea na mini van kwa ajili ya viongozi wakayakataa wakatumia basi lao wanapojua walipolitoa....na kwenye mapokezi hayo hamis kisiwa alikuwepo pamoja na balozi msaidizi wa south africa, wakawasindikiza hadi huko kunduchi Ramada hotel ingawa walishauriwa wachukue hotel ya katikati y amji iwe karibu kufika uwanjani
Siku y amazoezi wakakwama kwenye traffic jam jamaa anailalamikia simba, siku ya mechi wakatumia mlango wa media waka storm kwa nguvu hizo clips wakibishana na watu wa security ndizo wanazitumia huko south africa kwamba walinyanyaswa na wanapewa nguvu na makanjanja yetu yenyewe yakifanyiwa interview na media za huko YANASEMA KWAMBA SIMBA NI KAWAIDA YAO KUTUMIA MBINU CHAFU
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…