CEO Barbra na wenzako hapo Simba SC ni kweli mna deal kubwa zaidi ya Azam TV?

CHIZI VITABU

JF-Expert Member
Joined
Jun 12, 2021
Posts
1,061
Reaction score
2,477
Habari ni kwamba mlikataa kulipwa hela sawa na utopolo (hapo nawaunga mkono kabisaaa) lakini milioni 200 kwa mwezi ni nyingi sana inaweza kutumika hata kuongeza mishahara ya wachezaji na technical benchi au hata kuanza kuelekezwa kujenga majukwaa uwanjani kule Bunju.

sababu ya pili ni kwamba inasemekana mliwaambia kwamba mnataka kuazisha chanel yenu (mbali na simba tv inayoruka azam) na hiyo channel itaonekana Kusini na Mashariki mwa Afrika. Ya kweli hayo jameni? Maana nimeguna kidogo, platform yenu ya kurushia itakuwa ipi?dtsv? au mtalipia satellite kabisa?

Au mnaona aibu kwamba ita suprass deals nyingi zilizoko hapo klabuni na kuzi dwarf kabisa?

NB: Angalizo usiniite mshabiki wa utopolo tutaibuana

UPDATE nimeona hizi tweets mahala kumbe tangu last month watu wanajadili hizi habari,nimeona simba walipopishana na azam, ni kuktaaa contents zao za you tube kuchukuliwa na azam,kuwa na uhuru wa creativity kwa kuwa na studio yao.

1.PNG
2.PNG
3.PNG
 
Ulichoandika sio maswali, Ukirudia kusoma vizuri utona ni taarifa iliyoandikwa indirect ili watu wajue kinachoendelea hapo Umbumbuni Fc kwa lengo la kuDisvalue dili ya Azam na yanga.
 
Kwani CEO anatakiwa kureport kwako?
Kama wamekataa wanasababu, hakuna mtu anakataa hela duniani.
 
Yanga washapitia maisha ya matajiri wa kidosi ambao 100% ni umimi na wanataka sana pindi wakiondoka muone bila yeye hamna pakutokea,Yanga tushatembeza mpaka bakuli baada ya manji,na ndio maana tunapambana usiku na mchana kujenga taasisi isiyomtegemea mtu,upande wa pili siku jamaa akisusa mtaokota mpaka makopo nyau nyie
 
Ulichoandika sio maswali, Ukirudia kusoma vizuri utona ni taarifa iliyoandikwa indirect ili watu wajue kinachoendelea hapo Umbumbuni Fc kwa lengo la kuDisvalue dili ya Azam na yanga.
next two weeks simba wanasaini kama masharti yao yatakubaliwa na azam basi watakuwa wamefanikiwa kulinda contents zao za you tube ,kuweka creativity yao a kuuza contents sub saharan africa ,yanga wao wame surrender kila kitu kwa production crew za azam tv
2.PNG
 
Yanga washapitia maisha ya matajiri wa kidosi ambao 100% ni umimi na wanataka sana pindi wakiondoka muone bila yeye hamna pakutokea,Yanga tushatembeza mpaka bakuli baada ya manji,na ndio maana tunapambana usiku na mchana kujenga taasisi isiyomtegemea mtu,upande wa pili siku jamaa akisusa mtaokota mpaka makopo nyau nyie
nilidhani n argue na mtu mwenye akili kumbe chizi,unaongea kama matahaaira ya mpalange,mara ushua mara kukokot a makopo
 
Yanga washapitia maisha ya matajiri wa kidosi ambao 100% ni umimi na wanataka sana pindi wakiondoka muone bila yeye hamna pakutokea,Yanga tushatembeza mpaka bakuli baada ya manji,na ndio maana tunapambana usiku na mchana kujenga taasisi isiyomtegemea mtu,upande wa pili siku jamaa akisusa mtaokota mpaka makopo nyau nyie
Mia fil mia 👍👍👊👊
 
Ivi ni lazima tufanane nao hao yanga

Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
unadhani hii ndo deal ya kwanza hizi teams kulipwa na azam sema hii ni kubwa kuliko zote..mwaka 2017 manji alikataa milioni 100 kuonyeshwa yanga tv kwa mwaka pale azam, simba walichukua...safari hii simba anajaribu kulinda contents angalau hela za you tube (pengine) wakae nazo au clips ziendelee kuonekana huko maana kwa yanga wame surrender kila kitu kwa azam tv..na wakimalizan an ahawa wanataka kuiongeza mbeya city kama wakibaki ligi kuuu
 
Habari ni kwamba mlikataa kulipwa hela sawa na utopolo (hapo nawaunga mkono kabisaaa) lakini milioni 200 kwa mwezi ni nyingi sana inaweza kutumika hata kuongeza mishahara ya wachezaji na technical benchi au hata kuanza kuelekezwa kujenga majukwaa uwanjani kule Bunju.

sababu ya pili ni kwamba inasemekana mliwaambia kwamba mnataka kuazisha chanel yenu (mbali na simba tv inayoruka azam) na hiyo channel itaonekana Kusini na Mashariki mwa Afrika. Ya kweli hayo jameni? Maana nimeguna kidogo, platform yenu ya kurushia itakuwa ipi?dtsv? au mtalipia satellite kabisa?

Au mnaona aibu kwamba ita suprass deals nyingi zilizoko hapo klabuni na kuzi dwarf kabisa?

NB: Angalizo usiniite mshabiki wa utopolo tutaibuana

UPDATE nimeona hizi tweets mahala kumbe tangu last month watu wanajadili hizi habari,nimeona simba walipopishana na azam, ni kuktaaa contents zao za you tube kuchukuliwa na azam,kuwa na uhuru wa creativity kwa kuwa na studio yao.

View attachment 1846335View attachment 1846336View attachment 1846337
Watopolo tangu mbebwe na refa ile tarehe 3 July mnajiropokea tu
 
Back
Top Bottom