Habari ni kwamba mlikataa kulipwa hela sawa na utopolo (hapo nawaunga mkono kabisaaa) lakini milioni 200 kwa mwezi ni nyingi sana inaweza kutumika hata kuongeza mishahara ya wachezaji na technical benchi au hata kuanza kuelekezwa kujenga majukwaa uwanjani kule Bunju.
sababu ya pili ni kwamba inasemekana mliwaambia kwamba mnataka kuazisha chanel yenu (mbali na simba tv inayoruka azam) na hiyo channel itaonekana Kusini na Mashariki mwa Afrika. Ya kweli hayo jameni? Maana nimeguna kidogo, platform yenu ya kurushia itakuwa ipi?dtsv? au mtalipia satellite kabisa?
Au mnaona aibu kwamba ita suprass deals nyingi zilizoko hapo klabuni na kuzi dwarf kabisa?
NB: Angalizo usiniite mshabiki wa utopolo tutaibuana
UPDATE nimeona hizi tweets mahala kumbe tangu last month watu wanajadili hizi habari,nimeona simba walipopishana na azam, ni kuktaaa contents zao za you tube kuchukuliwa na azam,kuwa na uhuru wa creativity kwa kuwa na studio yao.
View attachment 1846335View attachment 1846336View attachment 1846337