CEO Barbra na wenzako hapo Simba SC ni kweli mna deal kubwa zaidi ya Azam TV?

Nafikiri Simba wanaona aibu.timu imenunuliwa kwa 20bil.bado ni ahadi tu.na mnunuzi amewahisema 20 bil unafungua benk na kufanya biashara. Akimaanisha ataitoa kimaandishi lakini si kuitoa
Sasa ni aibu anakuja mtu anataka kuweka mshiko zaidi ya 20bil.kwa miaka michache tu.wanaona si tumpe timu tu.
 
Duuh, kwanini Mbeya City na sio Namungo, Biashara au KMC ?
Naona kwa sasa timu hizo nilizotaja zina hype kuliko hao wana "koma kumwanya"
 
Huwezi fananisha Simba na Yanga, SImba ni brand kubwa kuliko Utopolo....kama ni dili basi Simba inabidi wapate zaidi ya hili dili la Utopolo.
 
Kuna mambo hayaingii akilini, yani simba sc wanagoma kusaini hili dili sababu ya contents za youtube!!!.
 
Hujui kuwa sikuzote thamani ya team inatakiwa kuwa ndogo kuliko inachoingiza, Ili biashara ifanikiwe?? Jadilini haya mambo kisomi acheni kutanguliza upumbavu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…