Telegram hata Urusi penyewe walishindwa kuudukua na kucompromise ili serikali itumie kama surveillance tool Kwa raia wake , se kwa mataifa mengine , hata France huko , yaani hii dunia kwa sasa naona uelekeo ni kuwa na serikali za kidikteta zinazofanya mass surveillance Kwa raia na kudukua mawasiliano yao .huyu ceo ni tapeli tu. Ana degree ya philosophy ajui anything about programming.
iko hivi ni brother wake ndo kila kitu. yeye ndo katengeneza kila kitu. sema huyudogo ndo ana nyota ya biashara na looks nzuri.
brother wake aliye andika code yupo amechill kimya. he is never in the spot light. yeye ndo kaandika source code ya telegram. inshort huyu wa France ni useless playboy