CEO wa mtandao wa Telegram, Pavel Durov akamatwa katika uwanja wa ndege nchini Ufaransa

Hata mimi jana Telegram imenisumbua. Pavel amekamatwa kwa makosa ya Telegram kuchapisha maudhui yanakokinzana na haki za binadamu na makosa ya jinai. Telegram hamna regulation hata wauza madawa wapo, sexual traffickers wapo.

Sidhani kama ni makosa makubwa sana kwake, angekamatwa kwao Urusi ndio ana kesi kubwa ila cha ajabu serikali ya Urusi inaitumia sana Telegram maana raia hawaziamini sana source rasmi za serikali.
Aweza kwenda jela 20yrs.
 
huyu ceo ni tapeli tu. Ana degree ya philosophy ajui anything about programming.

iko hivi ni brother wake ndo kila kitu. yeye ndo katengeneza kila kitu. sema huyudogo ndo ana nyota ya biashara na looks nzuri.

brother wake aliye andika code yupo amechill kimya. he is never in the spot light. yeye ndo kaandika source code ya telegram. inshort huyu wa France ni useless playboy
 
Waswahili bana 😂😂😂 sasa WHO CARES?!

kila mtu huko mataifa ya dunia za kwanza wanamu-appreciate yeye, wewe kalagabaho kutoka kwenu Afrika mabonde kuinama, maji shida, umeme shida, kula shida... Eti unam-criticize jamaa kwamba he's useless... Una akili sawasawa we yahaya?!
 
huyu ceo ni tapeli tu. Ana degree ya philosophy ajui anything about programming.

iko hivi ni brother wake ndo kila kitu. yeye ndo katengeneza kila kitu. sema huyudogo ndo ana nyota ya biashara na looks nzuri.

brother wake aliye andika code yupo amechill kimya. he is never in the spot light. yeye ndo kaandika source code ya telegram. inshort huyu wa France ni useless playboy
Kesho kuna Meme coin yake moja inaingia sokoni inaitwa DOGS sasa sijui itatoa maokoto kiasi gani na hili sekeseke la kukamatwa kwake sijui lita athiri price?
 
huyu ceo ni tapeli tu. Ana degree ya philosophy ajui anything about programming.

iko hivi ni brother wake ndo kila kitu. yeye ndo katengeneza kila kitu. sema huyudogo ndo ana nyota ya biashara na looks nzuri.

brother wake aliye andika code yupo amechill kimya. he is never in the spot light. yeye ndo kaandika source code ya telegram. inshort huyu wa France ni useless playboy
Lete ushahidi wakuonesha kwamba Nikolai ndie aliyeandika code za telegram.

Ni kweli Pavel amejifunza coding kutoka kwa kaka yake ambae alikua mwamba sana kwenye maswala hayo ya coding ila huwezi kumvunjia heshima Pavel kusema kwamba hajui coding wakati mwenzio ameanza kucode games akiwa na miaka 11 tu.

Na isitoshe telegram sio project ya kwanza ya huyo jamaa, zipo kibao before telegram.

Sio kila anaejua kucode lazima asome computer science au software engineering or Information technology au other related fields ila wapo wanaojua kucode vizuri tu huku wakiwa wamechukua degree ya vitu vingine kabisa... Elon Musk ni mphizikia, huyo Nikolai mwenyewe ni mwana mahesabu.
 
Hata mimi jana Telegram imenisumbua. Pavel amekamatwa kwa makosa ya Telegram kuchapisha maudhui yanakokinzana na haki za binadamu na makosa ya jinai. Telegram hamna regulation hata wauza madawa wapo, sexual traffickers wapo.

Sidhani kama ni makosa makubwa sana kwake, angekamatwa kwao Urusi ndio ana kesi kubwa ila cha ajabu serikali ya Urusi inaitumia sana Telegram maana raia hawaziamini sana source rasmi za serikali.
Shida ni internet na sio Telegram
 
Hawa waseng£ wameona Telegram ni secretive social network ambayo inalinda sana siri za watumiaji na data zao , so mataifa na serikali always huwa zinataka kucompromise social networks na kuzitumia kama surveillance tools ,
Sijajua kama Wote na Signal hali ikoje kwa sasa ila Telegram ilikuwa ni moja ya platform ya usalama sana kufanya mawasiliano , kuna Wire na Signal apps nazo zilikuwa vizuri sana ,sijui kwa sasa kama zilishapandikizwa surveillance tools kama matakataka ya Meta (facebook , what's app , Instagram nk
 
Back
Top Bottom