Black Sniper
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 32,406
- 55,148
Ni tajiri wa 121 duniani
Alipewa uraia wa Ufaransa baada ya kwenda kuishi kisiwa kidogo huko Caribbean
Ila mtandao wake una mambo mengi sana na hakuyadhibiti
Alijua anatafutwa na serikali ya france ila kajipeleka
Atakula mvua za kutosha akicheza
30 years labda daa dunia hii
Jamaa ana utajiri wa $15.5b naona zitapungua sana kwenye kesi hii