CEO wa mtandao wa Telegram, Pavel Durov akamatwa katika uwanja wa ndege nchini Ufaransa

CEO wa mtandao wa Telegram, Pavel Durov akamatwa katika uwanja wa ndege nchini Ufaransa

Hamna kitu unajua. Alianzisha VKontakte ambayo ni kama Facebook ya Russia, ikawa maarufu kuliko Facebook ila raia wakawa huru nayo hadi kwenye maandamano ikatumika ndipo usalama wakataka credentials za users akakataa. Serikali ikalazimisha takeover ikanunua hisa na kuleta masharti yake kwenye mtandao. Akaachana na VKontakte.

Akaanzisha Telegram akasumbuliwa na kutoroka Urusi. Sasa mtu aliomba uraia wa Ufaransa akapewa alafu useme eti West ndio wanamtafuta. Kwahiyo wewe unajua usalama wake kuliko yeye mwenyewe.
Mtu awe wanted kisha anaenda na private jet kwenye airport mji mkuu??

Telegram imefunguliwa kesi kama ambavyo Zuckeberg akisimama kwenye Congress, Apple ilivyopelekwa mahakama na Umoja wa Ulaya, Facebook vilevile ilikuwa na kesi Ulaya, Apple ilikuwa na kesi Urusi. Hamna ajabu hapo.
Wamesema anaweza kufunngwa miaka 20 kwa kosa la ugaidi,utakatishaji fedha na biashara ya watu!
 
📹 Telegram CEO Pavel Durov spoke about his brother Nikolai’s role in creating the messenger app in an interview with Tucker Carlson.

"My brother has, like, two PhDs in maths. Super smart. He is an expert in cryptography. He designed the basic principles of Telegram’s encryption. I was more on the user interface side, the way how the app works, the features, etcetera. He was responsible for it, for the encryption side." Durov said.


📌Subscribe to @SputnikInt
 
A maths prodigy in the shadows: who is Pavel Durov's brother Nikolai and why are the French after him?

Telegram CEO Pavel Durov's elder brother Nikolai is also a target of the French authorities. An arrest warrant for both brothers was issued in March.

What is known about Nikolai, who Pavel called a mathematics prodigy while speaking to Tucker Carlson in April?

◻️ Pavel noted in his April 2024 interview with Tucker Calrson that Nikolai has two PhDs in mathematics and is an expert in cryptography. He was able to solve cubic equations at the age of 10 and won several gold medals at the International Math Olympiad between 1996 and 1998.

◻️ It was Nikolai Durov, 44, who created the encryption standard for Telegram in 2013. The messenger was originally only used by the brothers to avoid surveillance by intelligence agencies, but later evolved into a full-fledged app.

◻️ Nikolai also developed the Telegram Open Network (TON), a decentralized computer network consisting of a layer-1 blockchain, the basis for their cryptocurrency.

◻️ In 2006, Nikolai and Pavel launched their social network VKontakte (VK) a Russian analogue of Mark Zuckerberg's Facebook*. According to some reports, Pavel Durov wrote the first PHP code and the initial version of the working platform, while Nikolai later helped develop VK's data storage systems.

◻️ As Pavel left Russia in 2014 selling his stake in VK, Nikolai stepped down as the technical director and lead developer at VK that same year, but stayed in Russia.

◻️ As of August 2024, Nikolai is listed as a senior research fellow at the S. Petersburg branch of the Steklov Mathematical Institute of the Russian Academy of Sciences.

*banned in Russia for extremism

📌Subscribe to @SputnikInt
 
✉️⚡️Pavel Durov has been released from custody.

The investigating judge has terminated Pavel Durov's detention in police custody for the purpose of his initial interrogation and possible filing of charges


Hints.....

In short, he is not yet free. This is only a change in Durov's status for the purpose of interrogation and possible indictment. After that, a decision will be made about his fate
 
Kabisa , serikali zote huwa ni ushenzi tu .
Serikali ni tatizo sana maana huwa zinaharibu kuingilia privacy za watu na kuabuse madaraka , hata ile issue ya tiktok kupigwa vita na Marekani ,issue ni kwamba Marekani na agencies za kijasusi na kikachero pale kama FBI ,NSA ,CIA walikuwa wanataka kupandikiza backdoors zao ili waweze kuintercept mawasiliano ya watumiaji na kudaka data zao na issues nyingine kama wanavyolalamika kwamba China anafanya vile vile .,sasa kwa vile tiktok hawakukubaliana na matakwa yao ndio wakaona walete zengwe
Serikali ni ushenzi always ,
Kuna usemi kwamba " don't ever trust the Government "
Na kutrack wabaya wao kupitia C.I.A na mossad kama wanavyofanya wahtspp
 
Mtu kama Assange anasumbuliwa vile na kuwekwa jela miaka yote ile kisa kuexpose war crimes za US Army kule Iraq na uhalifu mwingine wa CIA , ambapo walikuwa wanaua raia wasio na hatia kwa drones nk
Yaani kuexpose crimes ndio kibao kinakugeukia wewe , wewe ndio unakuwa mhanga

Sasa kunakuwa kuna tofauti gani kati ya mtu anayeishi Totalitarian states kama Russia ,China ,North Korea na huyu anayeishi Marekani na nchi ambazo zinaingia kila siku na kujiita nchi za kidemokrasia ?
 
Pavel Durov Aachiwa kwa dhamana ya Euro Milioni 5 na Lazima Aonekane Mbele ya Mamlaka ya Ufaransa Mara Mbili kwa Wiki.
 
🇦🇪🔵Pavel Durov's rented office in Dubai, where the head of Telegram moved the company's headquarters in 2017, has been closed.

So far, none of the employees have appeared in the premises, the administrator of the complex told WSJ.

The reporter also could not find any contact information for the company or its representatives in the building's security system, the publication writes.
 
Back
Top Bottom