DogoWaNjombe
JF-Expert Member
- Feb 7, 2022
- 3,284
- 7,708
Tuna Imani nayeEti nae huyu ni mtendaji mkuu wa club
Ana upeo mdogo sana
Sasa Kwa akili hizi atasimamia timu hata ipate ubingwa na kucheza michuano mkikubwa kama CAFCL
Mbona hujawekwa wewe? Tuwe tunaheshim nafasi za watuEti nae huyu ni mtendaji mkuu wa club
Ana upeo mdogo sana
Sasa Kwa akili hizi atasimamia timu hata ipate ubingwa na kucheza michuano mkikubwa kama CAFCL
Ukiinama tuiteNasimama na AL Masry.
Wazee wenu wanalalamika wamezuiwa kuingia uwanjani siku nne,sasa sijui walikuwa wanaenda kufanya nini, wanamlaumu meneja amewazuia.“Nafahamu wote kwa pamoja tuna hamu ya kupata matokeo katika mechi hii lakini matokeo haya kuyapata kwa kushinda na kufuzu. Sisi tumeweka mazingira mazuri ambayo yataiwezesha timu yetu kufuzu.”
“Nipo hapa kuwataka Watanzania kujitokeza kwa wingi Uwanja wa Mkapa alkini ningependa kutoa taarifa muhimu kwamba tunaendelea kushirikiana na serikali kuimarisha usalama wa siku hiyo. Tunawataka wapenzi wetu kuhakikisha kwamba wanazingatia mazingatio yote ambayo yatawekwa ya usalama. Hatutaruhusu mtu yeyote ambaye sio Mwanasimba kutuharibia shughuli yetu.”
“Katika mchezo uliopita walisema maneno mengi kwamba kuna wazee wafupi, mbuzi lakini tuwatumie ujumbe kwamba kama mechi aikuhusu wabaki nyumbani na sisi tumejiandaa kuthibiti hilo kama klabu.”- CEO wa Simba, Zubeda Sakuru akiongea kwenye mkutano na wanahabari.
Mechi inahusu watanzania warundi na msio watanzania mnaambiwa mechi ni ya watanzania.Wabongo wote kolo kwa wananchi tufurike uwanjani mapema hata kolo akose nafasi na tulinde mageti mbuzi wasiingie uwanjani.“Nafahamu wote kwa pamoja tuna hamu ya kupata matokeo katika mechi hii lakini matokeo haya kuyapata kwa kushinda na kufuzu. Sisi tumeweka mazingira mazuri ambayo yataiwezesha timu yetu kufuzu.”
“Nipo hapa kuwataka Watanzania kujitokeza kwa wingi Uwanja wa Mkapa alkini ningependa kutoa taarifa muhimu kwamba tunaendelea kushirikiana na serikali kuimarisha usalama wa siku hiyo. Tunawataka wapenzi wetu kuhakikisha kwamba wanazingatia mazingatio yote ambayo yatawekwa ya usalama. Hatutaruhusu mtu yeyote ambaye sio Mwanasimba kutuharibia shughuli yetu.”
“Katika mchezo uliopita walisema maneno mengi kwamba kuna wazee wafupi, mbuzi lakini tuwatumie ujumbe kwamba kama mechi aikuhusu wabaki nyumbani na sisi tumejiandaa kuthibiti hilo kama klabu.”- CEO wa Simba, Zubeda Sakuru akiongea kwenye mkutano na wanahabari.
Meneja kaba hivyo hivyoWazee wenu wanalalamika wamezuiwa kuingia uwanjani siku nne,sasa sijui walikuwa wanaenda kufanya nini, wanamlaumu meneja amewazuia.
We hausimami na Al Masry?Ukiinama tuite
5imba wanapenda kuajiri wajingaMbona hujawekwa wewe? Tuwe tunaheshim nafasi za watu
Sisi tutaenda kuangalia mpira na hana uwezo wa kutuzuia labda watumie vile vizee vifupi kugundua wasiohusika.“Nafahamu wote kwa pamoja tuna hamu ya kupata matokeo katika mechi hii lakini matokeo haya kuyapata kwa kushinda na kufuzu. Sisi tumeweka mazingira mazuri ambayo yataiwezesha timu yetu kufuzu.”
“Nipo hapa kuwataka Watanzania kujitokeza kwa wingi Uwanja wa Mkapa alkini ningependa kutoa taarifa muhimu kwamba tunaendelea kushirikiana na serikali kuimarisha usalama wa siku hiyo. Tunawataka wapenzi wetu kuhakikisha kwamba wanazingatia mazingatio yote ambayo yatawekwa ya usalama. Hatutaruhusu mtu yeyote ambaye sio Mwanasimba kutuharibia shughuli yetu.”
“Katika mchezo uliopita walisema maneno mengi kwamba kuna wazee wafupi, mbuzi lakini tuwatumie ujumbe kwamba kama mechi aikuhusu wabaki nyumbani na sisi tumejiandaa kuthibiti hilo kama klabu.”- CEO wa Simba, Zubeda Sakuru akiongea kwenye mkutano na wanahabari.
Sidhani kama kuna mtu mechi haimuhusu atakuja uwanjani. Watakao husika ni mashabiki wa Al Masri na mashabiki wa Simba. Al Masri tutakuja kwa wingi.“Nafahamu wote kwa pamoja tuna hamu ya kupata matokeo katika mechi hii lakini matokeo haya kuyapata kwa kushinda na kufuzu. Sisi tumeweka mazingira mazuri ambayo yataiwezesha timu yetu kufuzu.”
“Nipo hapa kuwataka Watanzania kujitokeza kwa wingi Uwanja wa Mkapa alkini ningependa kutoa taarifa muhimu kwamba tunaendelea kushirikiana na serikali kuimarisha usalama wa siku hiyo. Tunawataka wapenzi wetu kuhakikisha kwamba wanazingatia mazingatio yote ambayo yatawekwa ya usalama. Hatutaruhusu mtu yeyote ambaye sio Mwanasimba kutuharibia shughuli yetu.”
“Katika mchezo uliopita walisema maneno mengi kwamba kuna wazee wafupi, mbuzi lakini tuwatumie ujumbe kwamba kama mechi aikuhusu wabaki nyumbani na sisi tumejiandaa kuthibiti hilo kama klabu.”- CEO wa Simba, Zubeda Sakuru akiongea kwenye mkutano na wanahabari.
Nionyeshe Zubeda mwenye akili nami nitakuonesha pumbu za sisimizi.Eti nae huyu ni mtendaji mkuu wa club