CEO wa Simba: Kama mechi haikuhusu baki nyumbani (Simba Vs Al Masry - Aprili 9, 2025)

CEO wa Simba: Kama mechi haikuhusu baki nyumbani (Simba Vs Al Masry - Aprili 9, 2025)

“Nafahamu wote kwa pamoja tuna hamu ya kupata matokeo katika mechi hii lakini matokeo haya kuyapata kwa kushinda na kufuzu. Sisi tumeweka mazingira mazuri ambayo yataiwezesha timu yetu kufuzu.”

“Nipo hapa kuwataka Watanzania kujitokeza kwa wingi Uwanja wa Mkapa alkini ningependa kutoa taarifa muhimu kwamba tunaendelea kushirikiana na serikali kuimarisha usalama wa siku hiyo. Tunawataka wapenzi wetu kuhakikisha kwamba wanazingatia mazingatio yote ambayo yatawekwa ya usalama. Hatutaruhusu mtu yeyote ambaye sio Mwanasimba kutuharibia shughuli yetu.”

“Katika mchezo uliopita walisema maneno mengi kwamba kuna wazee wafupi, mbuzi lakini tuwatumie ujumbe kwamba kama mechi aikuhusu wabaki nyumbani na sisi tumejiandaa kuthibiti hilo kama klabu.”- CEO wa Simba, Zubeda Sakuru akiongea kwenye mkutano na wanahabari.
Lazima tuje kuwazomea hilo halihepukiki na jezi za almasry tumeshanunua
 
Tukisema mmechanganyikiwa mnakataa. Mpira umewashinda mmebaki kushambulia watu kwa sababu ya magari yao, mashati yao na nywele zao.
Sema tu CEO wenu Zubeda anazingua. Binafsi hata ningekuja kuiangalia hiyo mechi live, bado nisingepoteza muda wangu kuwashangiloa Waarabu.

Ila kwa hicho kitendo chake cha kuwatishia watu nyau ndiyo kitasababisha baadhi ya wabishi kuwashangilia kwa makusudi tu.
 
Sema tu CEO wenu Zubeda anazingua. Binafsi hata ningekuja kuiangalia hiyo mechi live, bado nisingepoteza muda wangu kuwashangiloa Waarabu.

Ila kwa hicho kitendo chake cha kuwatishia watu nyau ndiyo kitasababisha baadhi ya wabishi kuwashangilia kwa makusudi tu.
Kauli ya CEO ni kauli ya taasisi. Usimshambulie yeye kama yeye, hiyo ni kauli ya taasisi ya Simba.

Hatuwataki uwanjani J5, bakini majumbani kwenu au nendeni mabandani.
 
CEO Zubeda anatakiwa ajulishwe kua sio yeyetu ata Rais wa Tff au CAF hana uwezo wa kuzuia mashabiki ambao hawashabikii timu yake kutokwenda uwanjani.

Na kwa ili alilo liongea , endapo ikatokea mashabiki ambao wamekwenda uwanjani na kushangilia tofauti na timu yake waka shambuliwa na mashabiki wa timu yake, Yeye CEO ata kua wakwanza kuchukuliwa hatua kutokana na kauli za uchochezi.
Yote yameletwa na mfumo mbovu wa kuokoteza viongozi wa mpira wa miguu
CEO mjinga sana
 
Nambie lini nyie mbumbumbu mlisomewa mapato na matumizi kwenye mkutano mkuu?
Kuwapa Mashabiki supu ni kuiweka karibu mashabiki na timu Yao
Mnapewa supu ili mkae karibu na timu, viongozi wenu wanawajua.
 
Back
Top Bottom