CEO wa Simba: Kama mechi haikuhusu baki nyumbani (Simba Vs Al Masry - Aprili 9, 2025)

Simba walimkosea Sana Barbara Gonzalez. Aliwapaisha sana kipindi chake na baada ya kuondoka wamekuwa wanadorora kila leo. Nilisoma hapa JF kuwa sasa hivi Barbara ni mama wa nyumani, kwa hiyo kama ni kweli kuwa yeye sasa ni mamama wa nyumbani, (sina uhakika) itabidi Simba wakamuombe radhi kwa kumpigia magoti wakati akilea watoto wake ili ikiwezekana awarudishie neema ile ya enzi hizo.
 
Eti nae huyu ni mtendaji mkuu wa club
Ana upeo mdogo sana
Sasa Kwa akili hizi atasimamia timu hata ipate ubingwa na kucheza michuano mkikubwa kama CAFCL
Amekuzidi Akili huyo wewe na utopolo wenzio.

Vipi barua zenu za uchumba zimefikia wapi
 
“Nafahamu wote kwa pamoja tuna hamu ya kupata matokeo katika mechi hii lakini matokeo haya kuyapata kwa kushinda na kufuzu. Sisi tumeweka mazingira mazuri ambayo yataiwezesha timu yetu kufuzu.”

“Nipo hapa kuwataka Watanzania kujitokeza kwa wingi Uwanja wa Mkapa alkini ningependa kutoa taarifa muhimu kwamba tunaendelea kushirikiana na serikali kuimarisha usalama wa siku hiyo. Tunawataka wapenzi wetu kuhakikisha kwamba wanazingatia mazingatio yote ambayo yatawekwa ya usalama. Hatutaruhusu mtu yeyote ambaye sio Mwanasimba kutuharibia shughuli yetu.”

“Katika mchezo uliopita walisema maneno mengi kwamba kuna wazee wafupi, mbuzi lakini tuwatumie ujumbe kwamba kama mechi aikuhusu wabaki nyumbani na sisi tumejiandaa kuthibiti hilo kama klabu.”- CEO wa Simba, Zubeda Sakuru akiongea kwenye mkutano na wanahabari.
CEO wa Simba anaitwa Zubeda? WTF!?
 
Ivi Simba uwa wanatoa wapi viongozi wa aina ii, Imagine uyo ni CEO!!
Kweli kukaa kimya kunasidia kuficha upumbavu wa watu.

Yaani kaongea kidogo kashatoa boko!!
CEO wa timu ina maana hajui kuwa izo ticket zinakatwa mtandaoni na zina nunuliwa na mashabiki wa Simba na ambao si wa Simba.

Yaani Simba imeshindwa kusajili timu, basi imeshindwa ata kupata CEO mmoja ambaye upstair yuko vizuri.
Yaani analingana akili na msemaji!!
Ficha upumbavu wako mkuu!! Nyie mmesajili team gani yakuishia makundi? Uyo CEO anafanana nini na wewe?? Kama wewe kweli kidume njoo uwanjani ukiwa umevaa jezi ya yanga tukuonyeshe.
 
Nitakuja kesho tuone utanifanya Nini?
 
“Nafahamu wote kwa pamoja tuna hamu ya kupata matokeo katika mechi hii lakini matokeo haya kuyapata kwa kushinda na kufuzu. Sisi tumeweka mazingira mazuri ambayo yataiwezesha timu yetu kufuzu.”

“Nipo hapa kuwataka Watanzania kujitokeza kwa wingi Uwanja wa Mkapa alkini ningependa kutoa taarifa muhimu kwamba tunaendelea kushirikiana na serikali kuimarisha usalama wa siku hiyo. Tunawataka wapenzi wetu kuhakikisha kwamba wanazingatia mazingatio yote ambayo yatawekwa ya usalama. Hatutaruhusu mtu yeyote ambaye sio Mwanasimba kutuharibia shughuli yetu.”

“Katika mchezo uliopita walisema maneno mengi kwamba kuna wazee wafupi, mbuzi lakini tuwatumie ujumbe kwamba kama mechi aikuhusu wabaki nyumbani na sisi tumejiandaa kuthibiti hilo kama klabu.”- CEO wa Simba, Zubeda Sakuru akiongea kwenye mkutano na wanahabari.
CEO anaongea kama anawasilisha bajeti ya kamati ndogo
kwamba kama klabu wajiandaa kudhibiti hilo....HOW???? ngoja tuone itakavyo kuwa 😀 😀 😀 😀
 
Ficha upumbavu wako mkuu!! Nyie mmesajili team gani yakuishia makundi? Uyo CEO anafanana nini na wewe?? Kama wewe kweli kidume njoo uwanjani ukiwa umevaa jezi ya yanga tukuonyeshe.
Usije shangaa wewe na wenzako ndo mkaoneshwa hapo uwanjani...maana ticket zinauzwa mtandaoni na kila mtu anaweza nunua.
kuhusu kuja tutavaa jezi zetu za Al-Masry na Yanga bila shaka yeyote ili tuone sasa ni nani atakaye oneshwa 😎 😎 😎 😎
 
“Nafahamu wote kwa pamoja tuna hamu ya kupata matokeo katika mechi hii lakini matokeo haya kuyapata kwa kushinda na kufuzu. Sisi tumeweka mazingira mazuri ambayo yataiwezesha timu yetu kufuzu.”

“Nipo hapa kuwataka Watanzania kujitokeza kwa wingi Uwanja wa Mkapa alkini ningependa kutoa taarifa muhimu kwamba tunaendelea kushirikiana na serikali kuimarisha usalama wa siku hiyo. Tunawataka wapenzi wetu kuhakikisha kwamba wanazingatia mazingatio yote ambayo yatawekwa ya usalama. Hatutaruhusu mtu yeyote ambaye sio Mwanasimba kutuharibia shughuli yetu.”

“Katika mchezo uliopita walisema maneno mengi kwamba kuna wazee wafupi, mbuzi lakini tuwatumie ujumbe kwamba kama mechi aikuhusu wabaki nyumbani na sisi tumejiandaa kuthibiti hilo kama klabu.”- CEO wa Simba, Zubeda Sakuru akiongea kwenye mkutano na wanahabari.
Asitupangie tiketi nishakata naenda kuishangilia timu yangu Al masry
 
Huku ndio kuchanganyikiwa. Timu inaalika wachungaji mara manager wa uwanja aondoke turoge.

Hawa nao TFF wanawaachaje tu hawa mambwiga watuharibie uwanja kupandikiza vitu vya ajabu?. Hapo watu wengi wanautumia huo uwanja kwa nini haya yasiyojitambua kuyaruhusu yatupie majini uwanja unaotumika na watu wengi?

Watoto pia wanautumia huo uwanja,siku watazimia wote humo uwanjani
 
Kipindi kile cha Mamelod kila ukipita unawasikia "Ubuntu Botho" watu walivaa mpaka jezi za njano na uwanjani wakaingia, mechi ya Mazembe wakavaa jezi na uwanjani wakaingia free.Leo wao wameingia uoga wanaomba hasiye husika hasiingie.
 
NI Heli wao walivaa jezi ila viongozi wao hawakupigia simu wachezaji wa timu pinzani na Yanga ila Yule kiongozi anayepewa sifa ilifikia hatua aliwapigia simu simu wachezaji wa timu pinzani.
 
Mbona hujawekwa wewe? Tuwe tunaheshim nafasi za watu
Kuwekwa ama kutowekwa inategemea na vitu vingi kijana. It doesn't imply at all kwamba una upeo mkubwa wa akili kuwazidi wengine. Ungemkosoa tu kwa yeye kusema maneno ya kutweza utu ila sio kuhoji kwamba kwanini hakuwekwa yeye.
 
Kauli ya CEO ni kauli ya taasisi. Usimshambulie yeye kama yeye, hiyo ni kauli ya taasisi ya Simba.

Hatuwataki uwanjani J5, bakini majumbani kwenu au nendeni mabandani.
Sisi ni al masry lazima tuje. Kwani mnatulipia viingilio?
 
Back
Top Bottom