DELETED ACCOUNT
JF-Expert Member
- Mar 25, 2010
- 9,805
- 15,476
Narudia kwa wale ambao hawajasikia au wanakaza fuvu, KAMA MECHI HAIKUHUSU ACHA KIHEREHERE NA KIMBELEMBELE, BAKI NYUMBANI UTIBU MAUMIVU YAKO YA KUONA SIMBA INAENDA NUSU FAINALI!!
Yule mwingine alikuja na watssap na kibegi eti ni mafanikio ya msimu.Nionyeshe Zubeda mwenye akili nami nitakuonesha pumbu za sisimizi.
😆😂😆Yule mwingine alikuja na watssap na kibegi eti ni mafanikio ya msimu.
Kuna uhusiano mkubwa kati ya Zubeda na ujingaNionyeshe Zubeda mwenye akili nami nitakuonesha pumbu za sisimizi.
Bora huyu Zubeda kuliko yule wa kibegi na group la WhatsAppYule mwingine alikuja na watssap na kibegi eti ni mafanikio ya msimu.
We kweli uto.Kwa hiyo unawaona wa maana sana hao wenu wanaowapikia supu na chapati huku mkisomewa klabu imepata hasara?5imba wanapenda kuajiri wajinga
Nambie lini nyie mbumbumbu mlisomewa mapato na matumizi kwenye mkutano mkuu?We kweli uto.Kwa hiyo unawaona wa maana sana hao wenu wanaowapikia supu na chapati huku mkisomewa klabu imepata hasara?
Na vile vizee vifupi vilivyoenda usiku kwa mkapa tarehe 7/03/2025 vimeishaonekana kwenye media asubuhi ya leo vinasema vinahudhuria pale leo siku ya nne na meneja wa uwanja hakuviruhusu vimekasirika vinataka aondolewe. Bila shaka vitakuwa vinataka kupeleka mbuzi mapemaIvi Simba uwa wanatoa wapi viongozi wa aina ii, Imagine uyo ni CEO!!
Kweli kukaa kimya kunasidia kuficha upumbavu wa watu.
Yaani kaongea kidogo kashatoa boko!!
CEO wa timu ina maana hajui kuwa izo ticket zinakatwa mtandaoni na zina nunuliwa na mashabiki wa Simba na ambao si wa Simba.
Yaani Simba imeshindwa kusajili timu, basi imeshindwa ata kupata CEO mmoja ambaye upstair yuko vizuri.
Yaani analingana akili na msemaji!!
Namjua sana sana sana huyu dada, toka akiwa Kisutu kama sijasahau... Sema nini...😃😃 Simba hapa wamepigwaEti nae huyu ni mtendaji mkuu wa club
Ana upeo mdogo sana
Sasa Kwa akili hizi atasimamia timu hata ipate ubingwa na kucheza michuano mkikubwa kama CAFCL
Bora kukaa kimya kuliko kila mkisomewa ni hasara.Hakuna cha kuwa na karibu na timu wala nini , viongozi wenu wanawajua nyinyi ni mashabiki njaa. Rekodi zipo nyinyi huwa mnakuwa na hamasa either kutokana na kulipiwa, fungulia mbwa au supu na chapati.Nambie lini nyie mbumbumbu mlisomewa mapato na matumizi kwenye mkutano mkuu?
Kuwapa Mashabiki supu ni kuiweka karibu mashabiki na timu Yao
HATUBAKI NYUMBANI MPK TUHAKIKISHE MMEFURUSHWA MASHINDANONI“Nafahamu wote kwa pamoja tuna hamu ya kupata matokeo katika mechi hii lakini matokeo haya kuyapata kwa kushinda na kufuzu. Sisi tumeweka mazingira mazuri ambayo yataiwezesha timu yetu kufuzu.”
“Nipo hapa kuwataka Watanzania kujitokeza kwa wingi Uwanja wa Mkapa alkini ningependa kutoa taarifa muhimu kwamba tunaendelea kushirikiana na serikali kuimarisha usalama wa siku hiyo. Tunawataka wapenzi wetu kuhakikisha kwamba wanazingatia mazingatio yote ambayo yatawekwa ya usalama. Hatutaruhusu mtu yeyote ambaye sio Mwanasimba kutuharibia shughuli yetu.”
“Katika mchezo uliopita walisema maneno mengi kwamba kuna wazee wafupi, mbuzi lakini tuwatumie ujumbe kwamba kama mechi aikuhusu wabaki nyumbani na sisi tumejiandaa kuthibiti hilo kama klabu.”- CEO wa Simba, Zubeda Sakuru akiongea kwenye mkutano na wanahabari.
Namuona muhasibu okwi boban sunzu ka'dislike ujumbe wakoNasimama na AL Masry.