CEO wa Simba: Kama mechi haikuhusu baki nyumbani (Simba Vs Al Masry - Aprili 9, 2025)

Narudia kwa wale ambao hawajasikia au wanakaza fuvu, KAMA MECHI HAIKUHUSU ACHA KIHEREHERE NA KIMBELEMBELE, BAKI NYUMBANI UTIBU MAUMIVU YAKO YA KUONA SIMBA INAENDA NUSU FAINALI!!
 
We kweli uto.Kwa hiyo unawaona wa maana sana hao wenu wanaowapikia supu na chapati huku mkisomewa klabu imepata hasara?
Nambie lini nyie mbumbumbu mlisomewa mapato na matumizi kwenye mkutano mkuu?
Kuwapa Mashabiki supu ni kuiweka karibu mashabiki na timu Yao
 
Na vile vizee vifupi vilivyoenda usiku kwa mkapa tarehe 7/03/2025 vimeishaonekana kwenye media asubuhi ya leo vinasema vinahudhuria pale leo siku ya nne na meneja wa uwanja hakuviruhusu vimekasirika vinataka aondolewe. Bila shaka vitakuwa vinataka kupeleka mbuzi mapema
 
Eti nae huyu ni mtendaji mkuu wa club
Ana upeo mdogo sana
Sasa Kwa akili hizi atasimamia timu hata ipate ubingwa na kucheza michuano mkikubwa kama CAFCL
Namjua sana sana sana huyu dada, toka akiwa Kisutu kama sijasahau... Sema nini...😃😃 Simba hapa wamepigwa
 
Nambie lini nyie mbumbumbu mlisomewa mapato na matumizi kwenye mkutano mkuu?
Kuwapa Mashabiki supu ni kuiweka karibu mashabiki na timu Yao
Bora kukaa kimya kuliko kila mkisomewa ni hasara.Hakuna cha kuwa na karibu na timu wala nini , viongozi wenu wanawajua nyinyi ni mashabiki njaa. Rekodi zipo nyinyi huwa mnakuwa na hamasa either kutokana na kulipiwa, fungulia mbwa au supu na chapati.
 
CEO Zubeda anatakiwa ajulishwe kua sio yeyetu ata Rais wa Tff au CAF hana uwezo wa kuzuia mashabiki ambao hawashabikii timu yake kutokwenda uwanjani.

Na kwa ili alilo liongea , endapo ikatokea mashabiki ambao wamekwenda uwanjani na kushangilia tofauti na timu yake waka shambuliwa na mashabiki wa timu yake, Yeye CEO ata kua wakwanza kuchukuliwa hatua kutokana na kauli za uchochezi.
Yote yameletwa na mfumo mbovu wa kuokoteza viongozi wa mpira wa miguu
 
HATUBAKI NYUMBANI MPK TUHAKIKISHE MMEFURUSHWA MASHINDANONI
 
Wanachanganyikiwa hawa bata mzinga... C.E.O ana akili za kimwijaku😂😂😂🙌🙌
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…