CEO wa Simba: Kama mechi haikuhusu baki nyumbani (Simba Vs Al Masry - Aprili 9, 2025)

Lazima tuje kuwazomea hilo halihepukiki na jezi za almasry tumeshanunua
 
Tukisema mmechanganyikiwa mnakataa. Mpira umewashinda mmebaki kushambulia watu kwa sababu ya magari yao, mashati yao na nywele zao.
Sema tu CEO wenu Zubeda anazingua. Binafsi hata ningekuja kuiangalia hiyo mechi live, bado nisingepoteza muda wangu kuwashangiloa Waarabu.

Ila kwa hicho kitendo chake cha kuwatishia watu nyau ndiyo kitasababisha baadhi ya wabishi kuwashangilia kwa makusudi tu.
 
Kauli ya CEO ni kauli ya taasisi. Usimshambulie yeye kama yeye, hiyo ni kauli ya taasisi ya Simba.

Hatuwataki uwanjani J5, bakini majumbani kwenu au nendeni mabandani.
 
CEO mjinga sana
 
Nambie lini nyie mbumbumbu mlisomewa mapato na matumizi kwenye mkutano mkuu?
Kuwapa Mashabiki supu ni kuiweka karibu mashabiki na timu Yao
Mnapewa supu ili mkae karibu na timu, viongozi wenu wanawajua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…