CEO wa Simba tulipaza sauti mapema kabla usajili kukoma

CEO wa Simba tulipaza sauti mapema kabla usajili kukoma

CEO anahusika vp na usajili, wakati Simba Ina kamati maalumu ya usajili (iliyokuwa inaongozwa na Hanspope na sasa Kasimu Dewji), na network ya scouting dunia nzima ( ndo maana Fraga aliletwa kutokea India). Sasa hapo Babra anahusika vp hapo?
Ndiyo maana wakikuletea chikwende,akili mbofu mbofu

Sent from my TECNO LC6 using JamiiForums mobile app
 
Wakati muda wa dirisha la usajili kukaribia kutamatika, tulieleza kwamba Simba sio football academy ambapo wachezaji kinda wanafundishwa.

Pia, tulibainisha mapungufu ya safu ya ulinzi na namna ya kuziba nafasi zilizoachwa na kee players mliowauza. Mbali zaidi, wengine tukalaumu hatua ya kumwacha Chikwende, mchezaji mzoefu, ambaye anachezea timu yake ya Taifa kwa mafanikio. Tunamkumbuka na Kahata sasa.

Leo unatuambia hujafuraishwa na soka lililoonyeshwa na wachezaji wako kwelii?

Nani wa kulaumiwa Kama sio wewe. Sijaona mchezaji wa kigeni mpya ambaye amekonga nyoyo za mashabiki na wapenzi wa Simba Hadi sasa.

Kwa hali ya kikosi hiki, tutakuwa tunashinda kwa kutegemea kudra za Maulana.

Jitafakari
Makolokolo FC aka Mikia.
 
Back
Top Bottom