Mto Songwe
JF-Expert Member
- Jul 17, 2023
- 6,683
- 14,060
Kwangu binafsi nafahamu kupitia startimesInapatikana wapi ?
Pia wana app yao na YouTube channel yao nafikiri hata kwenye visimbuzi vingine inapatikana piaInapatikana wapi ?
Kulingana na aina ya vipindi au matukio unayo fuatilia yana maudhui gani na yanaakisi nini ?Hivi mwanaume kamili hua anatoa wapi muda wa kuangalia vipindi kwenye TV...??🤔
Unafahamu kuhusu programmes zao hawa CGTN DOCUMENTARY ?Hakika [emoji106]