Mia ya noti
JF-Expert Member
- Dec 30, 2018
- 866
- 1,234
Kinachowatoa hawa jamaa ni kupenda kazi. Wanapiga kazi na mfumo wao unawasukuma kuwa hivyo sababu hawavumilii uzembe.
Nadhani hii spirit wameitoa kwa wajapan nao wako hivi. Yaani ukimkabidhi kazi anaifanya sawa sawa.
Tofauti na kwetu ni kwamba huwa tunaweka malengo lakini hatuna njia ya Kufuatilia kama Kila mmoja Katika nafasi yake anatenda ili kuyatimiza.
Mfano tuna vision 2025 ambayo ilikuwa inatutaka kufika 2025 tuwe tumefika uchumi wa kati.
Hii vision imeandikwa 2000 lakini mpk 2013 ikiwa tayari tumetumia nusu ya muda wake ndio tunagundua hatujafanya lolote la maana.
Ndio kuanza kuikata kwenye vipindi vya miaka mitano mitano lakini mpk leo hii haijatimia.
Mbaya zaidi tunaandaa nyingine ya mpk 2050 wakati hatujatadhmini kwa nini hii ya 2025 haikufanikiwa.
Tatizo hatuna watu wazuri kwenye mipango na mbinu za kuitekeleza.
Tunapaswa kuamua kufanya kwa lengo la kutoka hapa tulipo na sio kuandaa sera zibaki kwenye makaratasi yaani kama formality tu bila kuleta impact.